The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
-
- #21
Mtaani Hali ikoje? Hizo pesa zimekusanywa kutoka mbinguni? Kwani Serikali ikikusanya inawagawia wananchi?Kinachoongelewa na hali ilivyo mtaani vinapishana tunadanganya kumfurahisha nani sasa?Watu wakisema mseme wanapinga kila kitu?
Kuwa chawa wa mama raha sanaChawa katika ubora wakoView attachment 2279624
Hili halina mpinzaniNawasalimu kwa jina la JMT..
Nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mh.Samia SS na Serikali yake kupitia TRA kwa kuweza kukusanya mapato kwa Asilimia 99%..
Kiwango hiki kimeiwezesha Serikali kutekeleza ajeti yake ya mwaka 2021/2022 kwa zaidi ya asilimia 95%..
Bila shaka Rais Samia anazidi kuonesha uongozi wenye matokeo na sio maneno ya kujigamba na vitisho..
Nitoe wito kwa TRA kuendelea kukaza zaidi maana bajeti mpya ni kubwa zaidi ya iloyoisha hivyo mapato ni lazima yapatikane Ili kutimiza kiu ya mh.Rais ya kuwaletea maendeleo Watanzania.
Mwisho niwapongeze walipakodi nikiwemo mwenyewe kwa uzalendo huu, tuendelee kuchapa Kazi Ili Kazi iendelee.π
View attachment 2279047View attachment 2279048
Chawa kaziniAjabu sana..yaani badala samia ndo atoe shukrani kwa TRA
Data za kupika hizoπ π π π πNawasalimu kwa jina la JMT..
Nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mh.Samia SS na Serikali yake kupitia TRA kwa kuweza kukusanya mapato kwa Asilimia 99%..
Kiwango hiki kimeiwezesha Serikali kutekeleza ajeti yake ya mwaka 2021/2022 kwa zaidi ya asilimia 95%..
Bila shaka Rais Samia anazidi kuonesha uongozi wenye matokeo na sio maneno ya kujigamba na vitisho..
Nitoe wito kwa TRA kuendelea kukaza zaidi maana bajeti mpya ni kubwa zaidi ya iloyoisha hivyo mapato ni lazima yapatikane Ili kutimiza kiu ya mh.Rais ya kuwaletea maendeleo Watanzania.
Mwisho niwapongeze walipakodi nikiwemo mwenyewe kwa uzalendo huu, tuendelee kuchapa Kazi Ili Kazi iendelee.π
View attachment 2279047View attachment 2279048
Wanajumlisha Hadi mikopo wanayopokea wanaijumuisha kwenye makusanyo, Wapika data,Hayo hayahusiani Bali haya makusanyo sehemu yake inatumika kulipa mikopo kutoka Huko Kwa mabeberu wako.
Chawa King'ang'aniziKuwa chawa wa mama raha sana
angalia miradi inavyo songa kwa kasi.Vipi matumizi?
Au huko hakutuhusu?
Leteni numbers. Kabati lenye matumizi yote. Tutachambua yapi mnafanya ya maana, yapi luxury za viongozi na ya upigaji pia.angalia miradi inavyo songa kwa kasi.
1. Daraja la Busisi
2. Bwawa la nyerere
3. SGR
6. Barabara kuu na za vijijini
7. Hospitali.
8. Elimu bure hadi form 4
9. Mikopo ya Elimu ya juu
10. ujenzi wa madrasa.
11. Upanuzi wa bandari zote nchini.
n.k n.k
Sasa umefika wakati wa kufuta Kodi,ada,ushuru,tozo zote sumbufu(nuisance)kama kweli mapato ya TRA yaridhisha kihivyo.kama bajeti ya serikali imepangwa vizuri na imetokana na mpango kamilifu,hakika hatupaswi kutenda nje ya bajeti na hatupaswi kutoza au kutumia nje ya bajeti.au kuchomeka mradi mpya nje ya bajeti iliyopitishwa mwanzo ,lands kama ikibidi tubadilishe mradi uliokwisha pitishwa kwa mradi mpya.nasema si sawa bajeti imepitishwa ya trilloni 43 alafu ukatekeleza bajeti ya trilioni 90,hapo ni lazima wananchi waumizwe sana.kazi iendelee.....
Hilo hlina shaka kwasababu Mama ni mwadilifu anaye heshimu utawla wa sheria, ni muwazi na mwenye uchungu wa dhati kwa wananchi wake lakini kubwa zaidi ana hofu ya kweli kwa Mungu.Leteni numbers. Kabati lenye matumizi yote. Tutachambua yapi mnafanya ya maana, yapi luxury za viongozi na ya upigaji pia.
Per diem na ununuzi wa LC300 mmetumia shilingi ngapi katika kipindi kilichopita? Misafara na masherehe ya kitaifa?