Hongera Rais Samia kwa zoezi la Sensa linaloendelea nchini

We

Weka Yako wewe mpingaji unayejikubali tukufahamu mkuu😁😁
Kuna nini ambacho nimepinga? 🤣 Nmegundua umeandika kitu ambacho hata wewe hukiamini. Ndo maana unaamini kuna wanaopinga...its so simple. Ulisoma mambo ya kutafuta logic au reasoning in philosophy? Umejiweka wazi sana....😁
 
Hii nchi wapumbavu ni wengi ndo maana inakuwa rahisi kuongoza.( Kama mleta huu uzi)
 
Unampongeza kiongozi kwa kutekeleza majukumu yake! inabidi tuamke aiseeee.....siku hizi maandiko ya kongole imekuwa ni trend!
 
KESHO wapata uteuzi wa pili
 
Umenena vyema Kupitia sensa tutaona maendeleo mengi sana wale wazee wa kupinga kila kitu wataziba midomo kama walivyoziba kwenye royal tour baada ya kuona watalii wanaongezeka kila siku Tanzania ni salama na Samia hatuna wasiwasi
 
Mama ni mvumilivu na mkomavu wa siasa hatawajali
Nachompendea Rais Samia Suluhu hajari kabisa maneno ya watu yeye anafanya kazi yake na kipaumbele chake ni maendeleo kwaiyo hata watu wakisema nini yeye anafocus mpaka akamilishe lengo lake 2025 mama hana mpinzani
 
Kuna nini ambacho nimepinga? 🤣 Nmegundua umeandika kitu ambacho hata wewe hukiamini. Ndo maana unaamini kuna wanaopinga...its so simple. Ulisoma mambo ya kutafuta logic au reasoning in philosophy? Umejiweka wazi sana....😁
Kuandika ambacho sikiamini hapana na kujiweka wazi ni sahihi kwamba naikubali serikali na Rais wake japo si kama ulivyomaanisha. Pia kwa asili ya mwanadamu Kila jambo, Hoja au neno ni lazima likosolewe au kupingwa hivyo Kila nikiandikacho ninaamini wapo watakao Pinga au kukosoa hayo mambo ya logic au reasoning in philosophy usikariri mkuu
 
Unampongeza kiongozi kwa kutekeleza majukumu yake! inabidi tuamke aiseeee.....siku hizi maandiko ya kongole imekuwa ni trend!
Hata kutekeleza majukumu si jambo rahisi mkuu majukumu mengine ni magumu sana Sasa pale kiongozi anapotekeleza majukumu magumu kwa ukamilifu mm nitampongeza. Kama ambavyo mzazi jukumu ni kumlea, na kumsomesha mtoto na n.k lkn akatekeleza jukumu Hilo kwa shida na ugumu mwingi kwa mtoto mwenye akili na utashi atampongeza mzazi wake. Ina maana hata leo huwezi kumpongeza mama Yako hata kwa kukuzaa?
 
Sijajua hapo ambacho kimekaririwa nini. Maana pia umeji expose kumbe hata kwenye uzi wako huna logic na huja reason. Ndo maana unawayawaya...unaamini hayo ya ku reason na kuwa na logic ni ya kukariri.🤣 Unatakiwa uwe smart unapotafuta teuzi jipange mimi kwenye ile ID yangu nyingine kabla sijasifia najenga hoja kiasi nami naanza kuonekana onekana chamani. Ukija vibaya wanakudharau tu wakati wenzio tunalamba asali wewe unalamba viatu ...🤣
 
Mkuu naona upo kujionyesha kwamba wewe unaelimu na unajua sana, kuniattack personally badala ya Hoja ni ushamba kwamba Sina logic na reasoning kwenye Uzi wangu kivip hebu toa logic Yako pia sitafuti teuzi ndugu
 
Sio mda unapata uteuzi wa pili mkuu,wapi hujaelewa tena mkuu
Ni kwamba sijawahi kuteuliwa na siandiki ili kupata uteuzi ndio maana sikukuelewa pia kwa Nini Kila anayepongeza juhudi za serikali mnaishia kumvalisha kofia ya msaka teuzi?
 
Yule mzee wa TASAF apewe TASAF yake haraka sana.
Ni kaya duni halisi na ni lazima apewe haki yake.
TASAF lazima ilenge watu maskini kama lengo lake, na sio vinginevyo.

Tafadharini
Mkuu Mambo ya TASAF yameingiaje humu?
 
Ni kwamba sijawahi kuteuliwa na siandiki ili kupata uteuzi ndio maana sikukuelewa pia kwa Nini Kila anayepongeza juhudi za serikali mnaishia kumvalisha kofia ya msaka teuzi?
Mkuu teuzi nyingine yaja mkuu ,Sasa sijui twapishana wapi mkuu, Kama nimekukwaza nisamehe mkuu,ila Ndo ujumbe nakupa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…