Hongera Rais Samia kwa zoezi la Sensa linaloendelea nchini

Ni kwamba sijawahi kuteuliwa na siandiki ili kupata uteuzi ndio maana sikukuelewa pia kwa Nini Kila anayepongeza juhudi za serikali mnaishia kumvalisha kofia ya msaka teuzi?
Kama hujawahi teuliwa mkuu na binadamu wenda siku MOJA malaika wakakuteua mkuu,hapo Kuna shida mkuu?
 
Nasisitiza tu kwamba Huwa siandiki jambo ili kupata teuzi ndugu ni kwa mapenzi kwa nchi yangu na raisi wangu ninamkubali kwa uongozi wake
Hiyo sensa mnayosifia huku wengine tunaiskia redioni tu. Baadhi ya Makarani wenu huku wa mchongo siku ikianza wako bar wanakula vyombo, wakitoshekwa wanazama guest wanaandikisha watu wa kusadikika kutoka vichwani mwao then wanalala. Kesho wanaamka tena
 
Na bado mpaka muite maji mma.
 
Weka ushahidi na sio kuwatuhumu makarani kwa maneno matupu
 
Karani mkubwa
 
Uchawa umezidi mkuu acha kujipendekeza kwa binadamu mwenzako namna hili ni aibu sana
 
Umeelezea vizuri sana.
 
Weka namba yako,upate wewe,huko uliko,kwa hayo ulioandika.
 
Nasisitiza tu kwamba Huwa siandiki jambo ili kupata teuzi ndugu ni kwa mapenzi kwa nchi yangu na raisi wangu ninamkubali kwa uongozi wake
Wao waweke namba zao,kwa hao,wanaowatumikia,huko waliko,wapate teuzi,huko pia kuna teuzi kibao.
 
Weka yako namba,upate teuzi huko uliko.
Una IDs nyingi. Mi nlishapata. Naona unapambana kutaka kututoa sisi wengine....utaishia hivyo hivyo kilaza wewe...unadhani Rais yeye atachagua kila ambaye ataandika pumba? Fanya kazi siyo kutaka kuwa chawa rahisi rahisi....😁
 
Rubbish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…