Hawa jamaa ni kuwa ignore..sijui mtu anajisikiaje kuandika vitu vya hiviiActually mm nashangazwa na hili jukwaa..
Kwanini wanafuta mijadala yenye maswali fikirishi na kuacha mada za kiboya kama yako?
labda uache tabia ya kutukana na kuporomosha matusi useless jukwaani wanaweza kukustahi gentleman,Actually mm nashangazwa na hili jukwaa..
Kwanini wanafuta mijadala yenye maswali fikirishi na kuacha mada za kiboya kama yako?
labda uache tabia ya kutukana na kuporomosha matusi useless jukwaani wanaweza kukustahi gentleman
Huyu si wanampa hela ya kusogeza mlo tu hana jipyaHawa jamaa ni kuwa ignore..sijui mtu anajisikiaje kuandika vitu vya hivii
Kama nchi imetulia mbona samia anaogopa kukutana na wapiga kura wake?Wananchi wameridhika na hali ya amani na usalama wao, wanafurahia sana na kwakweli wanaona, wanafaidika na kunufaika pakubwa na mipango na kazi kubwa na nzuri sana ya maendeleo unayoifanya kupitia serikali sikivu ya CCM.
Kwa hakika,
nchi imetulia vizuri sana na hali ya umoja, amani na usalama kwa waTanzania wote ni ya uhakika na ya kuaminika kila kona ya taifa letu.
Maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu ndani na nje ya nchi, sasa wamepuuzwa na porojo zao mitandaoni hazina athari tena kisiasa, kijamii wala kiuchumi nchini.
Chapa kazi mama, waTanzania wote wanakuunga mkono kwa wivu mkubwa.
kazi na utu......
Mungu Ibariki Tanzania.
huo ni uamuzi binafsi useless zaidi kwa mdau yeyote yule huru wa JF gentleman,Hawa jamaa ni kuwa ignore..sijui mtu anajisikiaje kuandika vitu vya hivii
pwagu na pwaguzi wanapotoshana jukwaani baada ya kua pointless dhidi ya kazi kubwa na nzuri sana inayofanywa na rais Dr.Samia Suluhu Hassan kwa maslahi mapana ya wa Tanzania wote. dahHuyu si wanampa hela ya kusogeza mlo tu hana jipya
Unachekesha na kisikitisha at oncepwagu na pwaguzi wanapotoshana jukwaani baada ya kua pointless dhidi ya kazi kubwa na nzuri sana inayofanywa na rais Dr.Samia Suluhu Hassan kwa maslahi mapana ya wa Tanzania wote. dah
ok gentleman,
Huu uzi una matusi gani?
Nimeuliza swali kwanini jf haileti mabadiliko kwenye jamii naona wanafunga comments
Tena akienda mbeya anapigwa mawe hadi anakimbiaYaani Dr.Samia Suluhu Hassan,
akuogope wewe msusa uchaguzi na aache kufanya kazi ya kuwatumikia waTanzania wote kwa bidii usiku na mchana?
we vep gentleman?
Wewe gentleman, ni kipaji Maalum, pole sana ndugu yanguok gentleman,
i'm sorry,
huo ni miongoni mwa uzi nzuri sana JF,
na kwakweli nimeusoma na nimeona namna ulivyoibua hisia mseto za kujenga na kutafakarisha sana.
na huenda hayo ni matokeo ya amani, utulivu na usalama uliopo nchini, kazi ambayo inafanywa vizuri sana na Dr.Samia Suluhu Hasssan.
pasingekua na amani,
kwa hakika usingepata utulivu wa fikra na kufyatua uzi kama huo.
nadhani wanafunga kwakua,
comments nyingi zimekau hash na hazina heshima wala hazijengi na zinaharibu maana na uzito wa hoja yenyewe.
Nadhani JF nao wanajaribu kulinda credibility yao dhidi ya utovu wa nidhamu na standards za mijadala.
nashauri move on gentleman, hiyo challenge ibadili kua fursa ya kufanya vizuri zaidi
Hakuna kitu hapo...ok gentleman,

Gentleman,Wewe gentleman, ni kipaji Maalum, pole sana ndugu yangu