Hongera Rais Samia, nchi imetulia tuli vizuri sana

Nchi ina imba wimbo wa watu kutekwa hadi sasa imekuwa kitu cha kawaida watu kutekwa. Utulivu hata kwa vitisho unapatikana mtu anaweza kutulia kwa hofu.
 
Wananchi wameridhika na hali ya amani na usalama wao, wanafurahia sana na kwakweli wanaona, wanafaidika na kunufaika pakubwa na mipango na kazi kubwa na nzuri sana ya maendeleo unayoifanya kupitia serikali sikivu ya CCM.

Kwa hakika,
nchi imetulia vizuri sana na hali ya umoja, amani na usalama kwa waTanzania wote ni ya uhakika na ya kuaminika kila kona ya taifa letu.

Maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu ndani na nje ya nchi, sasa wamepuuzwa na porojo zao mitandaoni hazina athari tena kisiasa, kijamii wala kiuchumi nchini.
Chapa kazi mama, waTanzania wote wanakuunga mkono kwa wivu mkubwa.

kazi na utu......:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Machawa yamefufuka na kuja kutuchafulia wavuti. Mshindwe na mregee mazwazwa nyie wana hizaya. Hongera za nnini kwa jambaziii na uaajiii?
 
ikiwa uko pointless,
kaa kimya tu gentleman na itapendeza zaidi kuliko kumbwelambwela mambo useless na kujiexpose ulivyo empty head jukwaani 🐒
 
Wananchi wameridhika na hali ya amani na usalama wao, wanafurahia sana na kwakweli wanaona, wanafaidika na kunufaika pakubwa na mipango na kazi kubwa na nzuri sana ya maendeleo unayoifanya kupitia serikali sikivu ya CCM.

Kwa hakika,
nchi imetulia vizuri sana na hali ya umoja, amani na usalama kwa waTanzania wote ni ya uhakika na ya kuaminika kila kona ya taifa letu.

Maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu ndani na nje ya nchi, sasa wamepuuzwa na porojo zao mitandaoni hazina athari tena kisiasa, kijamii wala kiuchumi nchini.
Chapa kazi mama, waTanzania wote wanakuunga mkono kwa wivu mkubwa.

kazi na utu......:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Unapigwa miti
 
Ni kweli. Kwa machawa kila apingaye uchawa ni mbaya na pointless. Heri pointless kuliko ethic-less na mannerless kama wewe sheitwan chawa mramba matakooo.
 
Nchi ina imba wimbo wa watu kutekwa hadi sasa imekuwa kitu cha kawaida watu kutekwa. Utulivu hata kwa vitisho unapatikana mtu anaweza kutulia kwa hofu.
ishi na watu vizuri gentleman,
jiepushe na wizi au dhuluma na jitenge kabisa na magenge ya kihalifu, na kabisa utakua umeondokana na kutibu kabisa tatizo hilo la hisia na fikra potofu dhidi ya hiyo porojo na drama unayoielezea.

Tanzania ni salama zaidi chini ya uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan kuliko kipindi chochote tangu tupate uhuru 🐒
 
Ni kweli. Kwa machawa kila apingaye uchawa ni mbaya na pointless. Heri pointless kuliko ethic-less na mannerless kama wewe sheitwan chawa mramba matakooo.
ok.
relax sasa wadau wamefurahia sana matusi yako jukwaani baada ya kua uko pointless 🐒
 
Wananchi wameridhika na hali ya amani na usalama wao, wanafurahia sana na kwakweli wanaona, wanafaidika na kunufaika pakubwa na mipango na kazi kubwa na nzuri sana ya maendeleo unayoifanya kupitia serikali sikivu ya CCM.

Kwa hakika,
nchi imetulia vizuri sana na hali ya umoja, amani na usalama kwa waTanzania wote ni ya uhakika na ya kuaminika kila kona ya taifa letu.

Maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu ndani na nje ya nchi, sasa wamepuuzwa na porojo zao mitandaoni hazina athari tena kisiasa, kijamii wala kiuchumi nchini.
Chapa kazi mama, waTanzania wote wanakuunga mkono kwa wivu mkubwa.

kazi na utu......:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
****** WA MAMA YAKO
 
Relax mwenyewe chawa unayehangaishwa na kuteswa na tumbo na uzwazwa kiasi cha kujigeuza chupii au nepii jitu zima.
calm down plz gentleman and enjoy freedom of expressions without nonsense mayhem jukwaani na itapendeza zaidi.

Nchi yetu ni ya amani mno chini ya Dr Samia Suluhu Hassan 🐒
 
Huu nao ni ugonja wa afya ya akili.
kua muwazi usaidike ndugu mdau,

Dr Samia Suluhu Hassan ameboresha huduma za afya kwa kiwango kikubwa sana na changamoto yako inatibika kabisa,
So,
you just be free 🐒
 
Back
Top Bottom