Gentleman,Kajamaa kapo magetoni, pengine kula yake mpaka dada amkatikie mauno shemeji , kanakuna jf kuandika mada uharo kabisa
Wananchi wameridhika na hali ya amani na usalama wao, wanafurahia sana na kwakweli wanaona, wanafaidika na kunufaika pakubwa na mipango na kazi kubwa na nzuri sana ya maendeleo unayoifanya kupitia serikali sikivu ya CCM.
Kwa hakika,
nchi imetulia vizuri sana na hali ya umoja, amani na usalama kwa waTanzania wote ni ya uhakika na ya kuaminika kila kona ya taifa letu.
Maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu ndani na nje ya nchi, sasa wamepuuzwa na porojo zao mitandaoni hazina athari tena kisiasa, kijamii wala kiuchumi nchini.
Chapa kazi mama, waTanzania wote wanakuunga mkono kwa wivu mkubwa.
kazi na utu......
Mungu Ibariki Tanzania.
Kupanga huko tulishakwama gentleman. Tunaongelea uchafu, jiji kunuka gentlemankawaida sana hilo gentleman,
kupanga jiji ni muhimu mno duniani kote
kupanga ni pamoja na usafi gentleman.Kupanga huko tulishakwama gentleman. Tunaongelea uchafu, jiji kunuka gentleman
Sasa mbona Mkuu anashangaa na kustaajabishwa gentleman? Kama ni jambo la kawaida?kupanga ni pamoja na usafi gentleman.
Nairobi panatoa harufu, Kampala, Abuja na Lagos ndio usiseme semblance Dar Es Salaam ambapo wanaishi wanadamu kama vile kwingineko ulimwenguni?
hakuna cha kushangaza hapo gentleman 🐒
Nadhani hukujui Mbeya, muulize Kikwete na angekuwepo hai Mzee Mkapa ningekwambia umuulize habari ya Mbeya.mawe ya maneno right?
just relax,Sasa mbona Mkuu anashangaa na kustaajabishwa gentleman? Kama ni jambo la kawaida?
Ooooh! Kumbe tunatumia ubovu wa maeneo mengine kupima ufanisi na ubora wetu?
Na relax gentleman, nikutakue maandalizi mema ya kuanza kuitafuna weekend.just relax,
kama mama wa taifa ni lazima aiweke familia yake katika mazingira ambayo yeye mwenyewe angependa yawe
Mbeya kuna waTanzania wangwana na wastaarabu mno nchini,Nadhani hukujui Mbeya, muulize Kikwete na angekuwepo hai Mzee Mkapa ningekwambia umuulize habari ya Mbeya.
Pia Magufuli alizomewa hadi akashindwa kuhutubia uwanja wa Mapinduzi akiomba kura 2015
SAMIA killed 10000000this in none impact porojo gentleman
Nadhani naongea na kifaranga ambaye haijui nchi hiiMbeya kuna waTanzania wangwana na wastaarabu mno nchini,
hawana tabia mbaya kama ambavyo unajaribu kuwapAint gentleman,
na ni miongoni mwa mikoa iliomchagua Dr.Samia Suluhu Hassana kwa kishindo zaidi cha kura gentleman
In fact,Umetumwa kupima upepo siyo?
Acha kuwaza kikatugakatuga dogo. Hutaambulia jibu la ama wametulia au wameinamisha vichwa wakitunga mbinu mpya.