Hongera Rais Samia, nchi imetulia tuli vizuri sana

Hakika imetulia, minyumbu, na ushetani wao, inatamani Hali osier hivyo lakini imeshindwa
 
Lipigwa miti linalohongwa buku saba linajitahidi kuandika uchoka huku makamu wake nchimbi akifurushwa na yenyewe kushangilia kama yanapigwa miti
 
Hata yeye anakuona ni fala.
 
Kuna mtu anabisha au analeta nywinywi!
 
Dadeki, buku7 yako kibindoni watakueleza nini 😂
 
Crap ya siku.

Mmekalia moto na unawaunguza makalioni.
Ni suala la muda tu, mtatoa milio mikuu
 
Dada umeanza kumkatia bikizimkazi mauno tena
 
labda uache tabia ya kutukana na kuporomosha matusi useless jukwaani wanaweza kukustahi gentleman,

but Dr.Samia Suluhu Hassan anafanya kazi nzuri na kubwa mno kwa maslahi mapana ya waTanzania wote
Samuya ni Dr wa nn, si alisema form four alifeli au
 
Mkuu mimi nazungumzia watu kutekwa na wasiojulikana, hata hili nalo ni porojo? Kwani mkuu ulitaka Tanzania iwe kwenye vita ndio useme Tanzania sio salama? Balozi anatekwa na serikali hadi sasa haina majibu, sasa sie wananchi wa kawaida usalama wetu upoje?

Kama mtu kafanya jambo la kinyume na sheria achukuliwe hatua za kisheria, ila hatuwezi kuhalalisha utekaji na mauwaji. Kama mtu mwizi au dhuluma au yupo kwenye magenge ya kihalifu basi taratibu za kisheria zifuatwe na huko ndio kuishi kwa usalama na amani.
 
Nchi ingekuwa imetulia msingekuja kujifariji hapa na nyuzi kama hizi, tulieni mlambe dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…