Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Upande wa mashtaka kwa kesi za kubambikiza juu ya raia na wanaharakati, wale walionyanyasa watu kwa kuteka watu, kuwaweka ndani na kuwashtaki kwa makosa ya uongo ,pamoja na wale waliominya uhuru wa vyombo vya Habari.
Kwa watu wote, kwani bodi inakata watumishi wa serikali pekee? mbona nyie wabinafsi sn?Asisahau maboresho BODI YA MIKOPO kwa watumishi wa serikali
Hata wewe waweza kuomba hivyo kama usemavyo kwa watu wote, ila mie nimeomba MABORESHO kwa watumishi wa UMMA hasa kwenye "retantion fee" ina maumivu sanaKwa watu wote, kwani bodi inakata watumishi wa serikali pekee? mbona nyie wabinafsi sn?
Tetea watu wote na siyo kikundi chenu pekeeHata wewe waweza kuomba hivyo kama usemavyo kwa watu wote, ila mie nimeomba MABORESHO kwa watumishi wa UMMA hasa kwenye "retantion fee" ina maumivu sana
Waambie watende HAKITetea watu wote na siyo kikundi chenu pekee
Ndiyo maana jiwe aliwanyoosha haswaWaambie watende HAKI
Hapana. Nina confidence na Mama Samia kuwa atafanya mambo makubwa sana.Binafsi sioni kama huyu maza atafanya chochote sababu ya huu mfumo wetu mbovu kabisa
Ndio ni ile ile ila inaweza kufanya makubwa ikiamua kubadilika Kweli.Ccm ni ile ile
Sawa ni mawazo yakoHapana. Nina confidence na Mama Samia kuwa atafanya mambo makubwa sana.
NotedAmani iwe nawe Mama yetu,
Napenda tu kukwambia, kati ya mambo ambayo wadau wa kimaendeleo wanayaangalia juu ya kiongozi ni maoni ya wapinzani wake juu ya utawala wake.
Maoni ya mpinzani wako kwanza yanawapa confidence development partners, pili yanawapa trust foreign investors na tatu yanakujenga vizuri ndani na nje.
Napenda kukwambia Rais wetu, Tundu Antiphas Lissu katika kipindi cha jana katika channel ya Voice of America, amekusafishia njia, sasa ni wewe tu kufanya yale mazuri Yaliyo moyoni kwako.
Najua unaendelea kusafisha nyumba yako ili maono yako juu ya Tanzania Nzuri yenye maendeleo na mafanikio tele yapate kutimia. Naomba Mama yetu usiache kusafisha nyumba yetu hasa kwa wale watu waliochafua taswira juu ya nchi yetu huku nje, Upande wa mashtaka kwa kesi za kubambikiza juu ya raia na wanaharakati, wale walionyanyasa watu kwa kuteka watu, kuwaweka ndani na kuwashtaki kwa makosa ya uongo ,pamoja na wale waliominya uhuru wa vyombo vya Habari.
Kwenye uchumi usiacha kushughulika na tabia zile za kufungia biashara , kufirisi makampuni na kufanya uwekezaji ushuke Tanzania na watu wakose ajira
Kufirisi ni nini? Au unamaanisha kufilisiAmani iwe nawe Mama yetu,

Endelea kutenda HAKI siku zote za Maisha yakoNdiyo maana jiwe aliwanyoosha haswa