antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Huu ubinafsi ndo unaleta kutofanikiwa. So, wa private na self employed waachwe nje?!!!Hata wewe waweza kuomba hivyo kama usemavyo kwa watu wote, ila mie nimeomba MABORESHO kwa watumishi wa UMMA hasa kwenye "retantion fee" ina maumivu sana
Tutetee na makundi mengineEndelea kutenda HAKI siku zote za Maisha yako
KILA kundi linatetea maslahi yake.mkulima hawezi kupoteza mda kuzungumzia nyongeza ya mshahara badala ya bei nzuri ya mazaoTetea watu wote na siyo kikundi chenu pekee
Bila tume huru hata wewe uwe IGP utanya madudu haya hayaCdf Mabeyo kaonyesha kidogo tu katiba kusimamiwa mama Samiha kupata alicho stahiki vivyo katika chaguzi Igp Sirro aachane ma kubeba kura za wizi kuzuia mikutano
Watendewe HAKI piaHuu ubinafsi ndo unaleta kutofanikiwa. So, wa private na self employed waachwe nje?!!!
Ndiyo maana ukaitwa msomi maanake umepevuka, acha ubashiteKILA kundi linatetea maslahi yake.mkulima hawezi kupoteza mda kuzungumzia nyongeza ya mshahara badala ya bei nzuri ya mazao
Watendewe HAKI piaHuu ubinafsi ndo unaleta kutofanikiwa. So, wa private na self employed waachwe nje?!!!
HAKI itamalaki nchi nzima, MOLA wetu atafurahi sana na nchi itastawi vyemaTutetee na makundi mengine
Sawa mkuuWatendewe HAKI pia
HAKI itamalaki nchi nzima, MOLA wetu atafurahi sana na nchi itastawi vyema
Well saidKatiba Mpya tu, kwangu mengine yote kelele.
Na aifuate na kuilinda dhidi ya wahuni wanaoikanyagaCha msingi alinde katiba..
MATAGA watagoma mkuu, maana wanajua KATIBA mpya itawapeleka kule wanastahili kuwa - MUSEUM (a.k.a Makumbusho)Katiba Mpya tu, kwangu mengine yote kelele.
Hii nchi sio ya shangazi yao, ni ya kwetu sote (watanzania).MATAGA watagoma mkuu, maana wanajua KATIBA mpya itawapeleka kule wanastahili kuwa - MUSEUM (a.k.a Makumbusho)
Sawa.. lkn bado imo utumwaniHii nchi sio ya shangazi yao, ni ya kwetu sote (watanzania).
Binafsi sioni kama huyu maza atafanya chochote sababu ya huu mfumo wetu mbovu kabisa
Ndio tuitoe utumwani kwa kudai Katiba Mpya. Rasimu ya Warioba ingependeza zaidi kwa mtazamo wangu.Sawa.. lkn bado imo utumwani
Rais Samia Suluhu Hassan anafahamu usanii wa wapinzani. Siku ile alisema bila kipepesa macho kuwa Hakuna askari wa jeshi lolote la Tanzania atakayempiga mtu risasi 20 asife. Lisu afahamu huyo ndiye rais wake na anaufahamu usanii wake.Amani iwe nawe Mama yetu,
Napenda tu kukwambia, kati ya mambo ambayo wadau wa kimaendeleo wanayaangalia juu ya kiongozi ni maoni ya wapinzani wake juu ya utawala wake.
Maoni ya mpinzani wako kwanza yanawapa confidence development partners, pili yanawapa trust foreign investors na tatu yanakujenga vizuri ndani na nje.
Napenda kukwambia Rais wetu, Tundu Antiphas Lissu katika kipindi cha jana katika channel ya Voice of America, amekusafishia njia, sasa ni wewe tu kufanya yale mazuri Yaliyo moyoni kwako.
Najua unaendelea kusafisha nyumba yako ili maono yako juu ya Tanzania Nzuri yenye maendeleo na mafanikio tele yapate kutimia. Naomba Mama yetu usiache kusafisha nyumba yetu hasa kwa wale watu waliochafua taswira juu ya nchi yetu huku nje, Upande wa mashtaka kwa kesi za kubambikiza juu ya raia na wanaharakati, wale walionyanyasa watu kwa kuteka watu, kuwaweka ndani na kuwashtaki kwa makosa ya uongo ,pamoja na wale waliominya uhuru wa vyombo vya Habari.
Kwenye uchumi usiacha kushughulika na tabia zile za kufungia biashara , kufirisi makampuni na kufanya uwekezaji ushuke Tanzania na watu wakose ajira