Hongera Rais Samia Suluhu Hassan, Sasa rasmi, Tundu Antiphas Lissu amekusafishia njia Kimataifa

Tundu lisu ni nani katika nchi hii? Anajipendekeza ili iweje?
Kwa hiyo yeye ndo alifunga hiyo njia sasa anafungua?
Hatutahitaji mawazo ya msariti na mgenge yake.
Yeye aendelee tu hana jipya utawala ni wa CCM ile ile ambayo miaka yote huipinga.
 
Tundu lisu ni nani katika nchi hii? Anajipendekeza ili iweje?
Kwa hiyo yeye ndo alifunga hiyo njia sasa anafungua?
Hatutahitaji mawazo ya msariti na mgenge yake.
Yeye aendelee tu hana jipya utawala ni wa CCM ile ile ambayo miaka yote huipinga.
Mtakufa na shida zenu
 
Lisu alijipanga kuchafua nchi .

Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.

Ni aibu kubwa kwa taifa letu

Lakini amegaragazwa ,asante PLO
 
Who is Lisu by the way.... Mnafiki mkubwa huo
 
Usisahau mashekhe wetu zaidi ya mia moja wakiweno mashekhe wa zanzibar waloekwa ndani kwasbabu tu ni waislamu, mashekhe na wanasema au walisema ukweli
hao mashaykh hawajawekwa ndani kwasababu ni waislamu tujitahidi kubalance story....mimi ni muislamu na najua wale wamewekwa ndani kwa tuhuma fulani fulani na ziko kinyume na uislamu....sasa uislamu usitumike kama defensive mechanism hata kwenye mambo yaliyo kinyume na uislamu wenyewe.....mkristo akikamatwa anafuga fisi tunasema huyu ni mfuga fisi na si amekamatwa kwasababu ni mkristo..
asante..
 
Tumpe nafasi Mhe. Rais wetu, tusimzonge na mambo mengi mwisho akashindwa kujua aanze na lipi, tumuache aweke malengo ya serikali, kisha taratibu mambo mengine yanaweza jiseti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…