Kazi iendeleeMimi ni muumini wa viongozi Bora na sio watawala Bora.Rais Samia suluhu Hassan ameonyesha yeye nikiongozi na sio mtawala,tulichelewe Sana kumuona huyu mama,zamani nilikuwa mgumu wa kuamini kwamba mwanamke anaweza kuwa shupavu Kama huyu .Huyu ni bingwa wa diplomasia na ukiangalia hasa moyo wake umebeba matamanio makubwa tuliyonayo sote.wapinzani ni sawa na watoto anaweza kulilia chakura hata Kama hakijaiva .tusihaingaike na makelele ya watu wasio elewa waelekee wapi nampongeza Sana huyu ndiye malkia wa nguvu 2021
Umeandika kweli tupu.Huyu ni Rais mwenye kuona mbali.Mungu ampe afya na uzima.Mimi ni muumini wa viongozi Bora na sio watawala Bora.Rais Samia suluhu Hassan ameonyesha yeye nikiongozi na sio mtawala,tulichelewe Sana kumuona huyu mama,zamani nilikuwa mgumu wa kuamini kwamba mwanamke anaweza kuwa shupavu Kama huyu .Huyu ni bingwa wa diplomasia na ukiangalia hasa moyo wake umebeba matamanio makubwa tuliyonayo sote.wapinzani ni sawa na watoto anaweza kulilia chakura hata Kama hakijaiva .tusihaingaike na makelele ya watu wasio elewa waelekee wapi nampongeza Sana huyu ndiye malkia wa nguvu 2021
Naamini awamu hii dau limepanda toka Buku7 hadi 20,000 per praising text maana spidi hii si ya kawaida hadi maboya wengine wanajikuta wanaishia kupraizi kwenye heading tu huku ndani ya uzi tajwa hakuna mfano dhahiri wa jambo lolote zuri lililofanywa. Content yenyewe unakuta iko shallow bin kkidimb
Sio kwamba hawaoni mkuu. Wanaona sana ila uvivu wao na njaa zao ndo zimesababisha vijana wauze utu wao. Wengi wao wanakataa machoni na kukubali moyoni.
Mimi ni muumini wa viongozi Bora na sio watawala Bora.Rais Samia suluhu Hassan ameonyesha yeye nikiongozi na sio mtawala,tulichelewe Sana kumuona huyu mama,zamani nilikuwa mgumu wa kuamini kwamba mwanamke anaweza kuwa shupavu Kama huyu .Huyu ni bingwa wa diplomasia na ukiangalia hasa moyo wake umebeba matamanio makubwa tuliyonayo sote.wapinzani ni sawa na watoto anaweza kulilia chakura hata Kama hakijaiva .tusihaingaike na makelele ya watu wasio elewa waelekee wapi nampongeza Sana huyu ndiye malkia wa nguvu 2021
Wadau, hivi puuzo la kapuku mmoja kutoka kwenye nyumba za tembe ndani huko na aliyepuuzwa na maisha yake mwenyewe linamwathiri vipi mtu aliye ikulu? Kichekesho!Tunakupuza kama tulivyompuza yeye
Ila sasa kwa nini Mawaziri hawamsaidii Rais kusema?Mimi ni muumini wa viongozi Bora na sio watawala Bora.Rais Samia suluhu Hassan ameonyesha yeye nikiongozi na sio mtawala,tulichelewe Sana kumuona huyu mama,zamani nilikuwa mgumu wa kuamini kwamba mwanamke anaweza kuwa shupavu Kama huyu .Huyu ni bingwa wa diplomasia na ukiangalia hasa moyo wake umebeba matamanio makubwa tuliyonayo sote.wapinzani ni sawa na watoto anaweza kulilia chakura hata Kama hakijaiva .tusihaingaike na makelele ya watu wasio elewa waelekee wapi nampongeza Sana huyu ndiye malkia wa nguvu 2021
JiongezeniLeo Ni sikukuu kubwa kabisa duniani kote..
Sehemu kubwa sana ya Dar haina maji.
Unatuambia Nini katika hili?
Waziri yupo, katibu mkuu yupo,. Wakurugenzi wapo. Maji Ruvu yapo,. Umeme upo..
Nini. Shida!?
Hamia Nchi mojawapo Kati ya hizi hapa huko yote uliyosema ni bei CheePraise and worship team unaamua kusifia kwanza halafu sababu itakuja yenyewe.
Tozo zimepanda,
Bidhaa zimepanda
Machinga waliokuwa wanapata kipato sababu serikali haijatengeneza ajira za kutosha Leo wametimuliwa kama wahamiaji wa Ethiopia
Wapinzani wake kuwabambikia kesi ya ugaidi
Wa michongo wanamsifia huku
Ukimshangaa Bata kuharisha utakutana na mbuzi anaekunya mavi kama karanga