The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kama weweHii nchi imejaa watu wapumbavu wengi sana. Ndio maana hatuwezi kuendelea.
Malalamiko fc hamuishiwi manenoKwahiyo ngorongoro ndio wanakabidhiwa warabu rasmi
Yaaani serikali imjengee nyumba mtu aliyekuwa anaishi kwenye nyumba ya matope alafu impe na hati ya umiliki mimi nije kuhoji?Hujui ulisemalo mkuu, Wazo la kuwatoa, kelele na nguvu zilizotumika kuwatoa ndugu zetu then wakajengewa Nyumba haraka kiasi hicho, try to think deep, angalia length of time kwa mambo yote hayo je? Hupati doubt yoyote?
TUNASUBIRI MAENDELEO BAADA YA NDUGU ZETU KUTOKA NGORONGORO
Hii nchi imejaa watu wapumbavu wengi sana. Ndio maana hatuwezi kuendelea.
Mkuu hii nchi ngumu sana, na bado tunaona sababu ni kupunguza utaliiYaaani serikali imjengee nyumba mtu aliyekuwa anaishi kwenye nyumba ya matope alafu impe na hati ya umiliki mimi nije kuhoji?
Picha ziko wapi
Gosh!!! What the hell is all this about ?!! !!?? ( fasta fasta ) !!Hujui ulisemalo mkuu, Wazo la kuwatoa, kelele na nguvu zilizotumika kuwatoa ndugu zetu then wakajengewa Nyumba haraka kiasi hicho, try to think deep, angalia length of time kwa mambo yote hayo je? Hupati doubt yoyote?
TUNASUBIRI MAENDELEO BAADA YA NDUGU ZETU KUTOKA NGORONGORO
Kweli kabisa !Basi Kama ni hivyo serikali ihakikishe waweke mambo sawa huko watakapohamia,maana handeni na kilindi wanalima Sana isije ikatokea vurugu kubwa baina ya ndugu zetu waliotoka ngorongoro na wenyeji wakulima wa maeneo tajwa...hatutaki migogoro ya wakulima na wafugaji,serikali iliangalie hili pia...
Ndio habari yenyewe hiyo, bado kigamboni watu walishakula posa siku nyingiKwahiyo ngorongoro ndio wanakabidhiwa warabu rasmi
Fedha zilitoka kwenye mapato ya Ngorongoro Crater na sio chakula tuu wanasomeshwa mpaka chuo kikuu bure ingawa haiwasaidii kupenda mabadiliko wala maendeleoPropaganda za kipumbavu sana hizi.
Hela zinazotumika kuwanunulia chakula Wakazi wa Ngorongoro takribani Bil 4-6 kwa mwaka zipelekwe kuwajengea makazi ya kisasa na kudumu wakazi hawa eneo lingine, na Naona leo wazo hili limefanyiwa Kazi na Serikali ya Awamu ya sita.
Hizo pesa za kuwalisha mlikuwa mnazitoa wapi? Katika mfuko gani?
Kweli kabisa !Basi Kama ni hivyo serikali ihakikishe waweke mambo sawa huko watakapohamia,maana handeni na kilindi wanalima Sana isije ikatokea vurugu kubwa baina ya ndugu zetu waliotoka ngorongoro na wenyeji wakulima wa maeneo tajwa...hatutaki migogoro ya wakulima na wafugaji,serikali iliangalie hili pia...
Sio kila lisemwalo lipo ! Tusubiri tuone !!Ndio habari yenyewe hiyo, bado kigamboni watu walishakula posa siku nyingi
Sawa uzeni nchi wakati ni sasaMalalamiko fc hamuishiwi maneno
Sawa uzeni nchi wakati ni sasaMalalamiko fc hamuishiwi maneno
Kunguni wa MboweChawa wa mama