Hongera Rais wa JMT. Nimeona nyumba wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro huku Handeni. Kusema kweli unastahili kuwa Rais wa JMT

Hayawani sana

Mkubwa lete picha angalao tuweze kutafakari
64CB1B76-332C-422D-8BB2-A316B3842107.jpeg
E650B9B8-DB8A-4D67-A429-8C2C5795484B.jpeg
 
Hujui ulisemalo mkuu, Wazo la kuwatoa, kelele na nguvu zilizotumika kuwatoa ndugu zetu then wakajengewa Nyumba haraka kiasi hicho, try to think deep, angalia length of time kwa mambo yote hayo je? Hupati doubt yoyote?

TUNASUBIRI MAENDELEO BAADA YA NDUGU ZETU KUTOKA NGORONGORO
Yaaani serikali imjengee nyumba mtu aliyekuwa anaishi kwenye nyumba ya matope alafu impe na hati ya umiliki mimi nije kuhoji?
 
Sina tatizo na hawa watu kujengewa huko Handeni na Kilindi.
Elimu..Elimu..Elimu itolewe kwanza kwani hofu yangu kubwa kusijezuka mapigano kati ya wakulima na wafugaji.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hujui ulisemalo mkuu, Wazo la kuwatoa, kelele na nguvu zilizotumika kuwatoa ndugu zetu then wakajengewa Nyumba haraka kiasi hicho, try to think deep, angalia length of time kwa mambo yote hayo je? Hupati doubt yoyote?

TUNASUBIRI MAENDELEO BAADA YA NDUGU ZETU KUTOKA NGORONGORO
Gosh!!! What the hell is all this about ?!! !!?? ( fasta fasta ) !!
 
Basi Kama ni hivyo serikali ihakikishe waweke mambo sawa huko watakapohamia,maana handeni na kilindi wanalima Sana isije ikatokea vurugu kubwa baina ya ndugu zetu waliotoka ngorongoro na wenyeji wakulima wa maeneo tajwa...hatutaki migogoro ya wakulima na wafugaji,serikali iliangalie hili pia...
 
Kweli kabisa !
 
Propaganda za kipumbavu sana hizi.

Hela zinazotumika kuwanunulia chakula Wakazi wa Ngorongoro takribani Bil 4-6 kwa mwaka zipelekwe kuwajengea makazi ya kisasa na kudumu wakazi hawa eneo lingine, na Naona leo wazo hili limefanyiwa Kazi na Serikali ya Awamu ya sita.

Hizo pesa za kuwalisha mlikuwa mnazitoa wapi? Katika mfuko gani?
Fedha zilitoka kwenye mapato ya Ngorongoro Crater na sio chakula tuu wanasomeshwa mpaka chuo kikuu bure ingawa haiwasaidii kupenda mabadiliko wala maendeleo
Eti tunadumisha mila, mila gani ya kuja kuangaliwa na wazungu sawa na wanyama?
 
Basi Kama ni hivyo serikali ihakikishe waweke mambo sawa huko watakapohamia,maana handeni na kilindi wanalima Sana isije ikatokea vurugu kubwa baina ya ndugu zetu waliotoka ngorongoro na wenyeji wakulima wa maeneo tajwa...hatutaki migogoro ya wakulima na wafugaji,serikali iliangalie hili pia...
Kweli kabisa !
Ndio habari yenyewe hiyo, bado kigamboni watu walishakula posa siku nyingi
Sio kila lisemwalo lipo ! Tusubiri tuone !!
 
Kumbe makazi yalianza kuandaliwa mapema kisha ndo mazungumzo na wahusika yakafwata.Ngumu kuelewa.
 
Back
Top Bottom