Hongera Rais wa JMT. Nimeona nyumba wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro huku Handeni. Kusema kweli unastahili kuwa Rais wa JMT

Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida!

Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi.

Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania

Mtu ambaye amehamisha hakuwa hata na makazi wala hati ya eneo Leo hii anajengewa nyumba ya kisasa na kupewa hati kabisa!

Kwangu Mimi so far Naona Serikali ya Awamu ya 6 ndo serikali Bora zaidi katika kufanyia kazi mawazo chanya wanayotoa wananchi.

Tulitoa mawazo humu kuwa hela zinazotumika kuwanunulia chakula Wakazi wa Ngorongoro takribani Bil 4-6 kwa mwaka zipelekwe kuwajengea makazi ya kisasa na kudumu wakazi hawa eneo lingine, na Naona leo wazo hili limefanyiwa Kazi na Serikali ya Awamu ya sita.

Hongera sana Rais Samia. Tutazidi kuleta mawazo zaidi kwako kupitia jukwaa hili.View attachment 2150236
Ni vyema wamepata eneo. Je linatosha malisho ya hao wanyama wao wanaozidi laki? KADIRIA KILA MNYAMA ANAHITAJI ZADI YA EKA MOJA YA MAJANI YA MALISHO KWA MWAKA KWA MAJANI YA KUPANDA. Eneo la kuchungia kiholela wafanyavyo ni zaidi ya mara tano? MAJI HANDENI NI SHIDA. Wasisahau kuchimba visima. TUPONGEZE HATUA YA KUOKOA NGORONGORO
 
Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida!

Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi.

Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania

Mtu ambaye amehamisha hakuwa hata na makazi wala hati ya eneo Leo hii anajengewa nyumba ya kisasa na kupewa hati kabisa!

Kwangu Mimi so far Naona Serikali ya Awamu ya 6 ndo serikali Bora zaidi katika kufanyia kazi mawazo chanya wanayotoa wananchi.

Tulitoa mawazo humu kuwa hela zinazotumika kuwanunulia chakula Wakazi wa Ngorongoro takribani Bil 4-6 kwa mwaka zipelekwe kuwajengea makazi ya kisasa na kudumu wakazi hawa eneo lingine, na Naona leo wazo hili limefanyiwa Kazi na Serikali ya Awamu ya sita.

Hongera sana Rais Samia. Tutazidi kuleta mawazo zaidi kwako kupitia jukwaa hili.View attachment 2150236View attachment 2150237
Shukrani sana mama,kipenzi cha raia halisi wa Tanzania.Kila aliye raia halisi,atamuunga mkono.
 
Nakuonea huruma sana! Utakufa na kijiba chako! Kwa anayofanya Samia tunampa hadi 2030

Nakuonea huruma sana! Utakufa na nkijiba chako! Kwa anayofanya Samia tunampa hadi 2030
Ukiacha kwamba ni mwanamke, hill lisingekuwa tatizo sana. Tatizo kubwa kuliko yote ni kwamba brain yake ni kubwa sana japo kijiko ni kikubwa zaidi kuipita
 
Kuna kitabu kimezinduliwa

'Upekee wa Rais Samia Suluhu Hassan'

Hahahahaha
Kuna generation ya hovyo sana inajengeka. A generation that doesn't question anything, a generation that has no principles and has nothing to stand for. Kizazi cha kusifia kila kitu ilimradi matumbo yao yashibe. Huu utaratibu ulianza enzi za JK, ukakita mizizi wakati wa Magufuli, na sasa unazidi kustawi
 
Things will never be the same.

Kama stori za vijiwe vya kahawa zina ukweli wowote....basi Kula kwa urefu wa kamba ni kauli mbiu ya kweli na inafanya kazi
 
usema ukweli Huyu mama sio wa kawaida!

Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi.

Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania

Mtu ambaye amehamisha hakuwa hata na makazi wala hati ya eneo Leo hii anajengewa nyumba ya kisasa na kupewa hati kabisa!

Kwangu Mimi so far Naona Serikali ya Awamu ya 6 ndo serikali Bora zaidi katika kufanyia kazi mawazo chanya wanayotoa wananchi.

Tulitoa mawazo humu kuwa hela zinazotumika kuwanunulia chakula Wakazi wa Ngorongoro takribani Bil 4-6 kwa mwaka zipelekwe kuwajengea makazi ya kisasa na kudumu wakazi hawa eneo lingine, na Naona leo wazo hili limefanyiwa Kazi na Serikali ya Awamu ya sita.

Hongera sana Rais Samia. Tutazidi kuleta mawazo zaidi kwako kupitia jukwaa hili
Mnyonge mnyongeni haki yake apewe

Watu hawana jema, sijui afanye nini mama wa watu ili waseme amefanya?

Tumwogopeni Mungu,

Yawezekana kuna mambo hayaendi vilivyo huenda watu wachache wanamharibia ila nia yake ni njema na inaonekana
 
Mama Ana Chawa Kila Kona Yaani Hawa Maasai Laki Tano Wote Wapigwe Mijengo
Tuache Unafki
That's funny, Serikali inasema imeanza na Tsh 1.2 Billion kujenga nyumba za Masai wanaohama kwa hiyari kutoka Ngorongoro. Tuseme kila nyumba igharimu Tsh 10 m, ina maana kutajengwa nyumba 120 tu kwa sasa! Idadi ya Masai wanaotakiwa kuhama ni zaidi ya elfu 90. Tuseme kila familia ina watu TISA.

Hii ina maana nyumba zinazotakiwa kujengwa ni zaidi ya elfu 10. Hizo fedha zinatoka wapi? Hizi fedha zilizoanza kutumika sasa zimepitishwa na Bunge lipi na lini?
Watz tumelala usingizi wa pono.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake apewe

Watu hawana jema, sijui afanye nini mama wa watu ili waseme amefanya?

Tumwogopeni Mungu,

Yawezekana kuna mambo hayaendi vilivyo huenda watu wachache wanamharibia ila nia yake ni njema na inaonekana
Mama anaingizwa chaka bila kujijua!
 
Ungejua kuwa wanaondolewa ili Otelo Business Corporation ambayo mwinyi aliwauzia loriondo wapewe eneo hilo usingefurahia na kuleta ujinga wako hapa.
Kwani anajielewa basi.

Hawa ndio wale wanashangilia huku tupu yote ikiwa wazi.
 
Nyerere alijaribu kuwafanyia hivyo Watindiga (wahadzabe) kwenye miaka nadhani ya 70 mwanzoni, lakingi uzalendo uliwashinda kila mvua inaponyesha kelele za matone ya mvua kwenye bati ziliwanyima usingizi, wakarudi kwenye makazi yao ya asili.
 
Kama Kujenga Nyumba Kuwapa Wananchi Bila Shaka Watumishi Wasingeambiwa Wakope Banks Na Riba Tele. Leo Maasai Ajengewe Tu
Not To That Extent!!! In Jiwe Voice
 
Back
Top Bottom