NDIYO Utaona Ngorongoro Kuna Jambo Zaidi HalisemwiKwa hiyo mwarabu katoa mpunga masai ajengewe nyumba za kisasa handeni halafu mwarabu akaishi mbugani na wanyama..........sounds clever!
Aisee....watu wapo kazini...Kuna kitabu kimezinduliwa
'Upekee wa Rais Samia Suluhu Hassan'
Hahahahaha
Chawa Akishiba Damu Yote SawaUnabisha au hutaki? Njoo Handeni na kilindi uone
Karibu kilindi ujioneeChawa Akishiba Damu Yote Sawa
Ni vyema wamepata eneo. Je linatosha malisho ya hao wanyama wao wanaozidi laki? KADIRIA KILA MNYAMA ANAHITAJI ZADI YA EKA MOJA YA MAJANI YA MALISHO KWA MWAKA KWA MAJANI YA KUPANDA. Eneo la kuchungia kiholela wafanyavyo ni zaidi ya mara tano? MAJI HANDENI NI SHIDA. Wasisahau kuchimba visima. TUPONGEZE HATUA YA KUOKOA NGORONGOROKusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida!
Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi.
Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania
Mtu ambaye amehamisha hakuwa hata na makazi wala hati ya eneo Leo hii anajengewa nyumba ya kisasa na kupewa hati kabisa!
Kwangu Mimi so far Naona Serikali ya Awamu ya 6 ndo serikali Bora zaidi katika kufanyia kazi mawazo chanya wanayotoa wananchi.
Tulitoa mawazo humu kuwa hela zinazotumika kuwanunulia chakula Wakazi wa Ngorongoro takribani Bil 4-6 kwa mwaka zipelekwe kuwajengea makazi ya kisasa na kudumu wakazi hawa eneo lingine, na Naona leo wazo hili limefanyiwa Kazi na Serikali ya Awamu ya sita.
Hongera sana Rais Samia. Tutazidi kuleta mawazo zaidi kwako kupitia jukwaa hili.View attachment 2150236
Aisee yaani jana hata siku 3 hazijapita tangu serikali kutangaza kutenga hizo billions, leo mwenzetu ushaziona nyumba?Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi.
Shukrani sana mama,kipenzi cha raia halisi wa Tanzania.Kila aliye raia halisi,atamuunga mkono.Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida!
Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi.
Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania
Mtu ambaye amehamisha hakuwa hata na makazi wala hati ya eneo Leo hii anajengewa nyumba ya kisasa na kupewa hati kabisa!
Kwangu Mimi so far Naona Serikali ya Awamu ya 6 ndo serikali Bora zaidi katika kufanyia kazi mawazo chanya wanayotoa wananchi.
Tulitoa mawazo humu kuwa hela zinazotumika kuwanunulia chakula Wakazi wa Ngorongoro takribani Bil 4-6 kwa mwaka zipelekwe kuwajengea makazi ya kisasa na kudumu wakazi hawa eneo lingine, na Naona leo wazo hili limefanyiwa Kazi na Serikali ya Awamu ya sita.
Hongera sana Rais Samia. Tutazidi kuleta mawazo zaidi kwako kupitia jukwaa hili.View attachment 2150236View attachment 2150237
Nakuonea huruma sana! Utakufa na kijiba chako! Kwa anayofanya Samia tunampa hadi 2030
Ukiacha kwamba ni mwanamke, hill lisingekuwa tatizo sana. Tatizo kubwa kuliko yote ni kwamba brain yake ni kubwa sana japo kijiko ni kikubwa zaidi kuipitaNakuonea huruma sana! Utakufa na nkijiba chako! Kwa anayofanya Samia tunampa hadi 2030
Kuna generation ya hovyo sana inajengeka. A generation that doesn't question anything, a generation that has no principles and has nothing to stand for. Kizazi cha kusifia kila kitu ilimradi matumbo yao yashibe. Huu utaratibu ulianza enzi za JK, ukakita mizizi wakati wa Magufuli, na sasa unazidi kustawiKuna kitabu kimezinduliwa
'Upekee wa Rais Samia Suluhu Hassan'
Hahahahaha
Sidhani kama ameelewa ulichomaanisha ππππUkiacha kwamba ni mwanamke, hill lisingekuwa tatizo sana. Tatizo kubwa kuliko yote ni kwamba brain yake ni kubwa sana japo kijiko ni kikubwa zaidi kuipita
Mnyonge mnyongeni haki yake apeweusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida!
Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi.
Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania
Mtu ambaye amehamisha hakuwa hata na makazi wala hati ya eneo Leo hii anajengewa nyumba ya kisasa na kupewa hati kabisa!
Kwangu Mimi so far Naona Serikali ya Awamu ya 6 ndo serikali Bora zaidi katika kufanyia kazi mawazo chanya wanayotoa wananchi.
Tulitoa mawazo humu kuwa hela zinazotumika kuwanunulia chakula Wakazi wa Ngorongoro takribani Bil 4-6 kwa mwaka zipelekwe kuwajengea makazi ya kisasa na kudumu wakazi hawa eneo lingine, na Naona leo wazo hili limefanyiwa Kazi na Serikali ya Awamu ya sita.
Hongera sana Rais Samia. Tutazidi kuleta mawazo zaidi kwako kupitia jukwaa hili
That's funny, Serikali inasema imeanza na Tsh 1.2 Billion kujenga nyumba za Masai wanaohama kwa hiyari kutoka Ngorongoro. Tuseme kila nyumba igharimu Tsh 10 m, ina maana kutajengwa nyumba 120 tu kwa sasa! Idadi ya Masai wanaotakiwa kuhama ni zaidi ya elfu 90. Tuseme kila familia ina watu TISA.Mama Ana Chawa Kila Kona Yaani Hawa Maasai Laki Tano Wote Wapigwe Mijengo
Tuache Unafki
Mama anaingizwa chaka bila kujijua!Mnyonge mnyongeni haki yake apewe
Watu hawana jema, sijui afanye nini mama wa watu ili waseme amefanya?
Tumwogopeni Mungu,
Yawezekana kuna mambo hayaendi vilivyo huenda watu wachache wanamharibia ila nia yake ni njema na inaonekana
Kwani anajielewa basi.Ungejua kuwa wanaondolewa ili Otelo Business Corporation ambayo mwinyi aliwauzia loriondo wapewe eneo hilo usingefurahia na kuleta ujinga wako hapa.