Hongera RC Makalla, hakika vibanda vya Machinga ulikuwa ni uchafu

Hongera RC Makalla, hakika vibanda vya Machinga ulikuwa ni uchafu

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Hakika nimepita leo sikuamini. (CBE) Pia mkuu wetu wa mkoa Hapo karibu na ofisi yako zilipo ofisi za TFF ni machinga lakini pameoza

tmp-cam--147410472.jpg
 
Hakika nimepita leo sikuamini. (CBE) Hapo karibu na ofisi yako zilipo ofisi za TFF ni machinga lakini pameoza

View attachment 1977714
Siamini hapa mahala pamekua hivi hakyanan kesho naenda kujionea mwenyewe aisee. Na mbele ya DIT pale walivamia wakawa wanakaanga mihogo kwa kuni full mimoshi kama tupo ulyankulu
 
Kimbembe kimehamia Mbezi mwisho hahahaaa...kule ni laana saizi vinapigwa vibanda vya mabati na vya miti kwenye eneo la kati ya morogoro road na road ya kuingilia stendi ya magufuli. Kama ni mgeni ukiambiwa ndo umefika Dar na mazingira yale lazma upigwe ganzi...
 
Kimbembe kimehamia Mbezi mwisho hahahaaa...kule ni laana saizi vinapigwa vinanda vya mabati na vya miti kwenye eneo la kati ya morogoro road na road ya kuingilia stendi ya magufuli. Kama ni mgeni ukiambiwa ndo umefika Dar na mazingira yale lazma upigwe ganzi...
Ukiwaacha wiki wanajenga na malumalu wanaweka chini. Mfano Mawasiliano Bus stand.
 
Back
Top Bottom