dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
uku Mvuti naona ni kweupeeeeee,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila jamani Mbezi Mwisho imeshakuwa Tandale. Yaani vibanda vimesongamana kila sehemu hadi barabarani. Hasa karibu na Stand ya Magufuli na Njia ya Malamba Mawili karibu na Stand za daladala
Daah, pamekuwa kweupe hadi raha, kweli machinga ni uchafu aiseeHakika nimepita leo sikuamini. (CBE) Hapo karibu na ofisi yako zilipo ofisi za TFF ni machinga lakini pameoza
Aisee Kariakoo wajiandae tu, pale ndio hapafai, yaani unalazimika kupishana na magari katikati ya barabara kisa wameziba njiaHivi pale katikati ya Kariakoo wataondoka? yaani nikero aise
Safi sana !!! Nchi iliharibiwa sana hii!!!Hakika nimepita leo sikuamini. (CBE) Hapo karibu na ofisi yako zilipo ofisi za TFF ni machinga lakini pameoza
Hata Kibamba mwisho, eneo lililobomolewa nyumba (Road Reserve) vimejaa vibanda. Na sasa hivi TANESCO wameanza kuunganisha umeme kwenye vibanda hivyo kuonesha vitakua vya kudumu na kuwa vipo kihalali.Kimbembe kimehamia Mbezi mwisho hahahaaa...kule ni laana saizi vinapigwa vinanda vya mabati na vya miti kwenye eneo la kati ya morogoro road na road ya kuingilia stendi ya magufuli. Kama ni mgeni ukiambiwa ndo umefika Dar na mazingira yale lazma upigwe ganzi...
Hakika nimepita leo sikuamini. (CBE) Hapo karibu na ofisi yako zilipo ofisi za TFF ni machinga lakini pameoza
Hapo IFM pia wamesafisha hada raha mji unaeleweka sasa
Mafanikio yameanza kuonekana baadhi ya viunga na mitaa ya jiji la DSM , viongozi wa Wilaya na mkoa wa Dar es Salaam endeleeni kuwapanga machinga jiji letu liwe sehemu rafiki.
Wote wale inabidi wabunuliweIla jamani Mbezi Mwisho imeshakuwa Tandale. Yaani vibanda vimesongamana kila sehemu hadi barabarani. Hasa karibu na Stand ya Magufuli na Njia ya Malamba Mawili karibu na Stand za daladala
Makumbusho,chuo cha utalii,wizara ya afya ,walitishaHapo IFM pia wamesafisha hada raha mji unaeleweka sasa
Mzee baba nimemiss ming'oko.Asee hapa Makala kaupiga mwingi Sana! Wanyooshe baba Waje huku bushi tulime ming'oko kama hawataki usafi
Kumbe wewe ni jirani yangu.uku Mvuti naona ni kweupeeeeee,
17 Oct 2021
Kariakoo, Dar es Salaam
Tanzania
Wakati zimebakia Saa chache Kukamilika Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dsm Amos Makalla la Kuwataka Machinga Kuelekea katika Maeneo waliyopangwa, Baadhi ya Machinga wamedai hawajfikiwa na matangazo na hawajui walikopangiwa'
Source : Channel Ten