Fazz
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 578
- 1,241
PlacePia ametoka chadema na mwaka Jana alikua campaign manager wa Mgombea wa Chadema Tundu lisu
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PlacePia ametoka chadema na mwaka Jana alikua campaign manager wa Mgombea wa Chadema Tundu lisu
Walikuwa wanachochea kuni ya hasira za kuwagusa. Waswahili wana hila sana kwenye maneno yao.Mbona mlisema wamachinga hawawezi kuguswa?
Aiseh inashangaza sana kuona kuwa watu wanafanya ujenzi kama huo kwenye road reserve na watu wa mamlaka wako kimya tu...hiyo Mawasiliano road ukiangalia pembeni watu wamepiga tiles hadi mwanzoni mwa lami kabisa...Ukiwaacha wiki wanajenga na malumalu wanaweka chini. Mfano Mawasiliano Bus stand.
Ukitufuata tutaubonda kwa NYUNDO,hadi macho yaruke,dadeki...!Mizimu ya mwendazake lazima uwafuate usiku..[emoji28][emoji28]
Acha utani nenda iringa then nenda moshi njoo mwenyewe usemaBodo mkoa flani unajiita mji kasoro bahari.!
Mji mchafu sijawahi kuona, hivi hawa wakuu wa miji huwa hawatembelei mikoa mingine mfano mkoa wa Iringa.
Mkoa wa Iringa ni msafi nahisi utakua umeupiga gep Moshi kwa sasa.
Jaribu kufanya huo uhalifu, Ukutane na wananchi wenye hasira kali, ambao hata nafasi ya kuwa machinga hawana, Ndiyo utajua hujui watu wenye hasira kali.Lakini tukumbuke ktk shida ya ajira hao machinga ambao Leo mnafurahia kuwa wamefukuzwa mjini ni vijana graduates ambao wamekosa ajira hawajapenda kupanga vitu barabarani ila ni maisha ....mpango mzima wa hili swala sijaona ukizungumza ni jinsi watawasaidia Hawa machinga warudi ktk hali yao ya kawaida.....Sasa wanaugulia maumivu makali ya kiuchumi na tukumbuke wengine wanafamilia.....na hapo hapo wanasiasa wanazungumza watu wajiajiri .....nyinyi ambao mnafurahia mji kuwa msafi pengine mna ajira zenu maofisini lakn hamuangalii maumivu wanayopitia wenzenu ...jadirini ni kivipi serikari itapunguza tatizo la ajira...kwani magufuri alikuwa ajui kuwa mji ni mchafu alikuwa anajiuliza wanaenda wapi...mnafurahia lakn hamjui impact yake inaweza kuongeza ualifu.....
👍Miji na majiji yarudi kuwa na hadhi stahiki...
Everyday is Saturday................................😎
👍Nawapongeza sana Mhe Rais Samia, hakika ameonyesha kujali maslahi ya Taifa kuliko mbwembwe za kisiasa. hapa nampa marks 100%.
pia Hongera sana Makalla kwa uongozi wako
Sure....👍Bado Dodoma, Mtaka afanye jambo... Barabara pekee ambayo ni safi ni ya kutoka round about jamatini kwenda Bungeni, zingine zote kizungumkuti.
Point💪Kabisaaa kuwa maskini haimaanishi kuvunja taratibu za nchi mie ni maskini lakini sifurahii huu uchafuzi wa majiji..
Wakuu wa mikoa mingine, wafanye nao hili.
Haiwezekani maafisa ardhi, mazingira mabwana afya wapo tunawalipa bure hawawezi kutimiza majukumu kisa mwanasiasa mmoja!
Everyday is Saturday................................😎
Sema coco nimeenda jana panajengwa vibanda flani amazing hadi nimependa yani! Lami iko so smooth yani gari inashift gears tu kama iko hewani😅Hawa watu hawana woga, kuna barabara mpya kule coco beach washaanza kuweka vibanda kwenye njia za watembea kwa miguu!