Hongera RC Makalla, hakika vibanda vya Machinga ulikuwa ni uchafu

Hongera RC Makalla, hakika vibanda vya Machinga ulikuwa ni uchafu

Kuna watu wataanza kupost picha wakiwa hapahapa Bongo watudanganye kwamba wako ulaya. Sasa tunaenda kuona haiba halisi ya Jiji.
Very true... Dar ni pamoto sema tulipapuuzia wenyewe. Waboreshe tu na garden za barabarani zifanane na pale Lugalo aisee hutoamini ndio Dar hii hii tunaiona ya kifal.a. Jiwe kashatupigia mibarabara saiz tushindwe tu wenyewe kupendezesha kwa vitu vidogo. Hongera sana Amos Makalla sio kama bwana yule sifa kibao hamna alichofanya
 
Mkuu GT nimeuja kukujua una roho mbaya sana kwa maskini. Ni katika hule uzi wa wale wasafisha vioo vya magari kwenye foleni
Hapana mkuu. Hii sio kuhusu masikini au tajiri ni kufuata utaratibu tu. Mji hauwezi kuwa na vibanda kwenye njia za watembea kwa miguu,vituo vya bus,juu ya mitaro sio Sawa. Ifike mahali tuishi kwa utaratibu.
 
Siamini hapa mahala pamekua hivi hakyanan kesho naenda kujionea mwenyewe aisee. Na mbele ya DIT pale walivamia wakawa wanakaanga mihogo kwa kuni full mimoshi kama tupo ulyankulu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapana mkuu. Hii sio kuhusu masikini au tajiri ni kufuata utaratibu tu. Mji hauwezi kuwa na vibanda kwenye njia za watembea kwa miguu,vituo vya bus,juu ya mitaro sio Sawa. Ifike mahali tuishi kwa utaratibu.
Kabisaaa kuwa maskini haimaanishi kuvunja taratibu za nchi mie ni maskini lakini sifurahii huu uchafuzi wa majiji..

Wakuu wa mikoa mingine, wafanye nao hili.

Haiwezekani maafisa ardhi, mazingira mabwana afya wapo tunawalipa bure hawawezi kutimiza majukumu kisa mwanasiasa mmoja!

Everyday is Saturday................................😎
 
Kimbembe kimehamia Mbezi mwisho hahahaaa...kule ni laana saizi vinapigwa vinanda vya mabati na vya miti kwenye eneo la kati ya morogoro road na road ya kuingilia stendi ya magufuli. Kama ni mgeni ukiambiwa ndo umefika Dar na mazingira yale lazma upigwe ganzi...
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom