Hongera RC Makalla, hakika vibanda vya Machinga ulikuwa ni uchafu

Hongera RC Makalla, hakika vibanda vya Machinga ulikuwa ni uchafu

Yaani nikifata biashara hapo kriakoo,huwa nawaza sana ntakvyo pishana na mavlchinfa hulu waktukana
 
Kimbembe kimehamia Mbezi mwisho hahahaaa...kule ni laana saizi vinapigwa vinanda vya mabati na vya miti kwenye eneo la kati ya morogoro road na road ya kuingilia stendi ya magufuli. Kama ni mgeni ukiambiwa ndo umefika Dar na mazingira yale lazma upigwe ganzi...
Hata Kibamba mwisho, eneo lililobomolewa nyumba (Road Reserve) vimejaa vibanda. Na sasa hivi TANESCO wameanza kuunganisha umeme kwenye vibanda hivyo kuonesha vitakua vya kudumu na kuwa vipo kihalali.
 
Hakika nimepita leo sikuamini. (CBE) Hapo karibu na ofisi yako zilipo ofisi za TFF ni machinga lakini pameoza


Kongole sana mkuu wa mkoa Amos Makala kwa kuwapanga wamachinga na kuturejeshea Jiji letu pendwa kuwa na muonekano ulio tarajiwa ktk mipango miji, usafi na salama kwa watumia miundombinu iliyojengwa kwa madhumuni mahususi kabisa badala ya fujo na uvamizi uliopelekea kuwepo msuguano usiofaa.
 
Hapo IFM pia wamesafisha hada raha mji unaeleweka sasa

Tupia picha tupate furaha ya jiji kurejeshwa mikononi mwa wahusika wanaotakiwa kutumia na kufaidi mitaa iliyopangika kama sheria inavyosema za kusimamia majiji, miji na Halmashauri.
 
17 Oct 2021
Kariakoo, Dar es Salaam
Tanzania

Wakati zimebakia Saa chache Kukamilika Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dsm Amos Makalla la Kuwataka Machinga Kuelekea katika Maeneo waliyopangwa, Baadhi ya Machinga wamedai hawajfikiwa na matangazo na hawajui walikopangiwa'


Source : Channel Ten

Mafanikio yameanza kuonekana baadhi ya viunga na mitaa ya jiji la DSM , viongozi wa Wilaya na mkoa wa Dar es Salaam endeleeni kuwapanga machinga jiji letu liwe sehemu rafiki.
 
Ila jamani Mbezi Mwisho imeshakuwa Tandale. Yaani vibanda vimesongamana kila sehemu hadi barabarani. Hasa karibu na Stand ya Magufuli na Njia ya Malamba Mawili karibu na Stand za daladala
Wote wale inabidi wabunuliwe
 
Mifano ya shughuli ambazo watu wake hawajapangwa zinavyoharibu miundombinu ya Dar es Salaam 21 January 2021



Source : channel ten
 
17 Oct 2021
Kariakoo, Dar es Salaam
Tanzania

Wakati zimebakia Saa chache Kukamilika Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dsm Amos Makalla la Kuwataka Machinga Kuelekea katika Maeneo waliyopangwa, Baadhi ya Machinga wamedai hawajfikiwa na matangazo na hawajui walikopangiwa'


Source : Channel Ten

Hawajafikiwa
Wasubiri deadline
 
Back
Top Bottom