Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Bado mkoa flani unajiita mji kasoro bahari.!
Pia ametoka chadema na mwaka Jana alikua campaign manager wa Mgombea wa Chadema Tundu lisuKabla ya kwenda Chadema Ally alikuwa mwana Ccm, kwa hiyo ni sawa tu kusena amerudi Ccm! Au ni kipi usichoelewa mkuu?
Siamini hapa mahala pamekua hivi hakyanan kesho naenda kujionea mwenyewe aisee. Na mbele ya DIT pale walivamia wakawa wanakaanga mihogo kwa kuni full mimoshi kama tupo ulyankuluHakika nimepita leo sikuamini. (CBE) Hapo karibu na ofisi yako zilipo ofisi za TFF ni machinga lakini pameoza
View attachment 1977714
Dar ilikua inachukiza sana aisee lakini pamoja na hayo yote ilikua inahesabika miongoni mwa majiji masafi Africa kwenye kumi bora. Saizi Dar itakimbiza vizuri sasa labda watatuzidi Kigali na Capetown tu hahahahaaaWakimaliza hilo zoezi la kuhamisha machinga waajili watu wa kufagia mjini pawe pasafi.
Wasisahau kituo cha bus cha railway station!Wazidi kusogea kuja Kimara mdogo mdogo.
Tena waende na pale kivukoni yaani aibu.
Ukiwaacha wiki wanajenga na malumalu wanaweka chini. Mfano Mawasiliano Bus stand.Kimbembe kimehamia Mbezi mwisho hahahaaa...kule ni laana saizi vinapigwa vinanda vya mabati na vya miti kwenye eneo la kati ya morogoro road na road ya kuingilia stendi ya magufuli. Kama ni mgeni ukiambiwa ndo umefika Dar na mazingira yale lazma upigwe ganzi...