M-bongotz, sijajisifia, nimeshuhudia tuu yaliyonikutaga pale chuo, wapenda mizifa au kutaka kuoneka perfect ndio kujikwaa wanaona noma, wanafanya siri, tena nashukuru utawala wa chuo, huo hautoa majina, ni namba tuu, hivyo hata aliyechezea disco, ni siri yake na moyo wake, lakini kwa sisi wengine, kujikwaa, kuanguka, kusimama, kujifuta vumbi na kuendelea na safari, ndio maisha yetu. Kama kukubali udhaifu ndio kujisifu, then, thanks.Unajisifia kudisco, wewe mzima kweli???
.Mkuu Pasco, rekebisha hapo maana huwezi disco 2nd year na umalize kwenye chuo hichihicho!!!
Rudi fasta mkuu urekebishe......
,ukidisco chuo kikuu manake ni home tuu, yaani hakuna disco afu tena uje umalize...either uliapply chuo upya so ukaanza tena..ila kama ulidisco na ukaja kumaliza ndo haya wanaita magumashi, mtu anadisco lakini mbinu zinafanyika, anapewa maksi masomo machache (hata likiwa moja kama litaweza kumuondosha na adha ya kudisco) then anaendelea kudunda....so mkulu pasco huwezi disco afu ukamaliza tena sijui na upper second sijui kitu gani..
.Kwa uelewa wangu mdogo
Disco ni kifupisho cha discontinued maana yake
Kwa maana hizo hapo juu haiwezekani ukawa discontinued halafu mwisho wa program uapate cheti, otherwise kama kuna kitu kilifanyika kutengua hilo disco....vinginevyo mkuu Pasko unataka kusema kisicho cha kweli!
- To stop doing or providing (something); end or abandon:
- To cease making or manufacturing...
- To cease subscribing to.....
- To terminate
- To come to an end....
- Stopped permanently
.
Mwanamayu, DISCO UDSM. mbona ni kitu cha kawaida, mimi pia nimesoma sheria hapo UD, nimejiunga na chuo na DIV II, wakati bila DIV 1 Sheria hupati.
Tulijiunga na vichwa vyenye DIV 1 kali toka haya mashule ya Academic na ma-international, mwisho wa siku, kuna wengi tuu walio Disco na Div I zao, na kuna wengi waliopata Upper 2nd na Div II zao.
Hata mimi binafsi niliDisco 2nd-year, na kutoka na upper 2nd mwaka wa mwisho. Kudisco Chuo, hakuna maana ndio kilaza, kuna maprofesa wazuri tuu hapo hapo chuo, vichwani akili nyingi, kwenye kufundisha ni vilaza tuu. Na kuna wanafunzi wa kawaida tuu, maksi za kawaida, ili hali ni vichwa kiukweli ukweli.
Tusihukumu watu for what they did/were, bali tuwahukumu for what they do now and in future.
Nawapongeza wanasheria wote waioukwaa uwakili, kusoma sheria ni kitu kimoja, kuwa wakili ni kitu kingine, ila kuwa wakili mzuri, ni kingine kabisa na hakina uhusiono ulikuwa mzuri vipi darasani, ndio maana mawakili wengi wazuri, wamepata pass tuu kama kina Mkono, na vile vichwa haswa vya sheria, vyenye Ist Class, kama kina Prof. Kabudi, huishia kwenye chaki ubaoni, na wakisimama mahakamani, ndio kama vile "amicus curiae", yaani friends of the court!.
Pia naomba msiwashangao, waandishi kumshobokea kijana wa Mzee, big names, makes news as well as prominance makes news, kijana ana both, silver spoon from 1st familiy, his own merit kwenye UV-CCM, sasa personal achievement as a member of the Bar from his own brain. Kati ya degree za kupewa pale UD, LL.B haipo, kila aliyesoma LL.B na kumaliza ni mwanasheria, ila sio kila aliyesoma LL.B na kuhitimu ni wakili.
Kwa hili la uwakili jamani, hongera zake mpeni!.
M-bongotz, nilikuuliza, kukubali udhaifu/mapungufu ndio kujisifia?. Mambo mengine ni kuwa na guts to speak nothing, but the truth no matter what. Inawewzekana kuna wengine walio disco chuo kama mimi, ila kwa vile ni siri ambazo wamezihifadhi ndani ya mioyo yao, then "wanajiplease, bora mimi sijadisco".Unajisifia kudisco, wewe mzima kweli???
Kwa sheria kuingia kwenye professional, there was only one way, kupractise kwa kipindi fulani huku umepetition kwa CJ, ukipigwa interview, ukifaulu, ndio unaapishwa kuwa wakili. Huu ni utaratibu wa zamani, kwa hawa graduates wote wapya, lazima wapite law school kwa mwaka mmoja, halafu wanaukwaa uwakili straight forward, japo tangu hiyo law school imeanza, huu ni mwaka wa nne, na sijabahatika kuwasikia hao mawakili wa law school, au labda ndio wale wajuzi.Pasco,
Nimekuelewa, kwenye ukilaza, hons, wakina nani mimi simo nilitaka tu uweke mistari sawa. Ukimwambia mtu ulidisco the ukamaliza kwa 2nd upper bado utakuwa umeacha maswali.
Kule kwa engineers kuna namna ya kupata professional credits, nahisi you must have 3 years field work experience.. Vipi law inakuwaje wakuu?
Kwani vigezo vya kumteua mtu kuwa wakili wa kitegemea ni nini?
Kitu kingine watanzania wenzangu tuache ku poliiliticise kila kitu mwishowe tukakuwa hatumaa maana tunawalaumu watu kuingiza siasa kwenye mambo ya singi wakati sisi hata kutambua thread hii iwekwe kwenye forum gani tunashindwa .
,
Kwa LL.B ya UD ninavyoijua mimi, its either you earn it, or not, hakuna magumashi, ndio maana nadhani tunaelekea miaka 15 au 20 hakuna 1st Class pale, huku Mzumbe na Tumaini na Open ni ma 1st ya kumwaga.
Msisitizo tena na bold kabisa, SIO KILA ANAE DISCO NI KILAZA!. ZIKO TECHNICAL DISCO KIBAO TUU NA ZINAPANGULIWA!
Taaluma rahisi kabisa hapa duniani ni pamoja na ukahaba, uandishi wa habari na sheria. Hongera Ridhiwani. Kumbe ungeweza lipi sasa.
.pasco naomba kukuuliza
mimi sijui sheria za mlimani zikoje
je maksi za mwaka wa pili si zinajumlishwa na mwaka wa tattu ili kupata final grade
Muchunguzi, kama hao vijana waliodisco Canada, walipiga LL.B ya UD, then, walidisco kwa mengine huko Canada na sio kwa udhaifu wa msingi walioupata pale UD.Hizo ni sifa za miaka ile ya University. Sasa hivi ni 'Chuo Kikuu' sawa na kile cha Magereza na polisi Kurasini. Kumbuka Vijana wa LL.B walio disco Masters kule Canada na komenti ya Mungai kwamba UD mambo ni mabaya ikaleta ugomvi na VC Luhanga.
WildCard, kuifanisha taaluma ya sheria na ukahaba, sio kuitendea haki hata kidogo, kwa ukahaba unasomewa?. Ama unamaanisha masomo ya sheria ndio marahizi kuliko taaluma nyingine zote, hii sio kweli.Taaluma rahisi kabisa hapa duniani ni pamoja na ukahaba, uandishi wa habari na sheria. Hongera Ridhiwani. Kumbe ungeweza lipi sasa.
Nina wasiwasi na credibility yake; kwani nasikia huko Mlimani alikwisha pigwa disco ila mambo yakafanyika na kuonekana amefauru!!!
Unajisifia kudisco, wewe mzima kweli???
,
Kwa LL.B ya UD ninavyoijua mimi, its either you earn it, or not, hakuna magumashi, ndio maana nadhani tunaelekea miaka 15 au 20 hakuna 1st Class pale, huku Mzumbe na Tumaini na Open ni ma 1st ya kumwaga.
Msisitizo tena na bold kabisa, SIO KILA ANAE DISCO NI KILAZA!. ZIKO TECHNICAL DISCO KIBAO TUU NA ZINAPANGULIWA!
WildCard, kuifanisha taaluma ya sheria na ukahaba, sio kuitendea haki hata kidogo, kwa ukahaba unasomewa?. Ama unamaanisha masomo ya sheria ndio marahizi kuliko taaluma nyingine zote, hii sio kweli.
Kwa vile taaluma ya uandishi wa habari imevamiwa na kila Tom, Dick and Harry, yaani kila mtu anaweza kuwa mwandishi wa habari, lakini sio kila mtu anaweza kuwa Mwanasheria.
Lazima tuukubali ukweli kuwa taaluma ya sheria, ni moja kati ya taaluma chache ambazo zinakata across everything, ukiondoa technical professions, ukihitimu sheria, you can be anyone you wish to be, you can be a political leader kama Mizengo Pinda, you can be mkurugenzi wa makampuni makubwa, ka Anold Kileo wa TBL, au unaweza kuwa wakili tuu kama kina Nimrod Mkono.
Advantage ya ziada kwa taaluma ya sheria ni ule uwezo wa mwanasheria, kuwa mtu mwingine yoyote na kufanya kazi ya taaluma nyingine yoyote, lakini watu wenye taaluma nyingine zozote, hawawezi kuwa wanasheria, bila LL.B. Natia msisitizo kwenye LL.B kwa sababu mtu mwenye taaluma nyingine yoyote, anaweza kufanya LL.M lakini bado hawezi kuwa wakili bila LL.B.