ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani akimkabidhi hati ya uwakili Rhidhiwani Kikwete leo asubuhi Mahakama kuu jijini Dar. Jumla ya mawakili wapya 128 walipatiwa hati zao leo
Mama Salma Kikwete akiwa na Majaji pamoja na baadhi ya mawakili wa kujitegemea waliopata hati leo
Jaji Mwendwa Malecele akiwa miongoni mwa majaji waliohdhuria sherehe hizo
Hongera sana kijana anasema Mh. Said el Maamry kwa Ridhiwani Kikwete
Waandishi wakimpiga maswali Ridhiwani
Baadhi ya wadau waliopata hati za uwakili leo
Ridhiwani akiwa na nduguze
Ridhiwani na wadau
Hongera mwanangu anasema Mama Salma Kikwete
huku Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani akishuhudia
ankal naye alikuwepo
(c) MICHUZI