Hongera Ridhiwani Kikwete!!!

Hongera Ridhiwani Kikwete!!!

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
IMG_6159.jpg

Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani akimkabidhi hati ya uwakili Rhidhiwani Kikwete leo asubuhi Mahakama kuu jijini Dar. Jumla ya mawakili wapya 128 walipatiwa hati zao leo

IMG_6257.JPG

Mama Salma Kikwete akiwa na Majaji pamoja na baadhi ya mawakili wa kujitegemea waliopata hati leo

IMG_6223.JPG

Jaji Mwendwa Malecele akiwa miongoni mwa majaji waliohdhuria sherehe hizo
IMG_6262.JPG

Hongera sana kijana anasema Mh. Said el Maamry kwa Ridhiwani Kikwete
IMG_6271.JPG

Waandishi wakimpiga maswali Ridhiwani

IMG_6274.JPG

Baadhi ya wadau waliopata hati za uwakili leo
IMG_6284.JPG

Ridhiwani akiwa na nduguze
IMG_6288.JPG

Ridhiwani na wadau
IMG_6301.JPG

Hongera mwanangu anasema Mama Salma Kikwete
huku Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani akishuhudia
IMG_6309.JPG

ankal naye alikuwepo
IMG_6324.JPG

(c) MICHUZI
 
bado kidogo watamteua kuwa jaji, hililinchi bwana yaani jaji mkuu unakaa kupiga picha na hako kajamaa badala ya kuwahi kutoa hukumu za haki au nawewe ndo kujipendekeza tu kwa mkulu.
 
Hongera sana Ridhiwani, zingatia haki! Mwanasheria asiyezingatia haki ni binadamu hatari kuliko binadamu yeyote duniani!
 
hiyo ndiyo kazi yako watanzania tunakutegemea kwenye hiyo kazi sio siasa.
 
Hongera kwake aila tatizo ni kuwa kashakunya sumu ya siasa ndo atahamia kabisa siasani na kuachana na fani!
 
Nina wasiwasi na credibility yake; kwani nasikia huko Mlimani alikwisha pigwa disco ila mambo yakafanyika na kuonekana amefauru!!!
 
Nina wasiwasi na credibility yake; kwani nasikia huko Mlimani alikwisha pigwa disco ila mambo yakafanyika na kuonekana amefauru!!!

Na hii publicity yooote ni sababu ya UWEZO au JINA LAKE??....walikuwa 128 lakini vyombo vya habari na bahasha vimemmulika yeye tu duh :whistle:
 
usishangae dogo, unasema ali disco??? hujui kuna mpaka degree za kuvua tissue kwa wale dada zetu warembo, wee shangaa tu mjini hapa, watu wanatoa uroda wanapata magamba ya maana
 
:mmph: am sure this is publicity is another poor man's propaganda to political mileage, the timing too is very questionable. Very soon we will hear the fela being addressed as advocate kikwete..... does he have the brains?????????
 
huyo mwanamke wa kwanza kapiga picha na majaji kwa sababu na yeye kijana wake ni muhitimu au??
 
Hongera sana Ridhiwani, zingatia haki! Mwanasheria asiyezingatia haki ni binadamu hatari kuliko binadamu yeyote duniani!

haki ni msamiati usio na maana kwa mtu yeyote kama huyo. hasa aliye ndani ya mtandao
 
Watanzania kwa kujikomba hawajambo.

Ni jambo la fedheha kwa state machinery kutumia vibaya fweza za walipa kodi, hii yote ni unnecessary na ni aibu kwa serikali masikini ambayo kila uchwao tunalia na kutembeza bakuli. Aibu hii itamkumba kikwete na nduguze.
 
Na hii publicity yooote ni sababu ya UWEZO au JINA LAKE??....walikuwa 128 lakini vyombo vya habari na bahasha vimemmulika yeye tu duh :whistle:

Na mimi nashangaa!:dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance:
 
IMG_6159.jpg

Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani akimkabidhi hati ya uwakili Rhidhiwani Kikwete leo asubuhi Mahakama kuu jijini Dar. Jumla ya mawakili wapya 128 walipatiwa hati zao leo

IMG_6257.JPG

Mama Salma Kikwete akiwa na Majaji pamoja na baadhi ya mawakili wa kujitegemea waliopata hati leo

IMG_6223.JPG

Jaji Mwendwa Malecele akiwa miongoni mwa majaji waliohdhuria sherehe hizo
IMG_6262.JPG

Hongera sana kijana anasema Mh. Said el Maamry kwa Ridhiwani Kikwete
IMG_6271.JPG

Waandishi wakimpiga maswali Ridhiwani

IMG_6274.JPG

Baadhi ya wadau waliopata hati za uwakili leo
IMG_6284.JPG

Ridhiwani akiwa na nduguze
IMG_6288.JPG

Ridhiwani na wadau
IMG_6301.JPG

Hongera mwanangu anasema Mama Salma Kikwete
huku Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani akishuhudia
IMG_6309.JPG

ankal naye alikuwepo
IMG_6324.JPG

Michuzi anataka kuweka himaya ya kifisadi juu ya vichwa vya Watanzania...........:smiling::smiling::smiling::smiling::smiling::smiling::smiling::smiling::smiling::smiling::smiling::smiling::smiling::smiling::smiling::smiling::smiling::smiling:
 
An achievement!..Hongera!!..ANGALIZO:Ukiamua kuwa mtu wa sheria na mambo ya haki, basi nauwe huyo..Sio mara leo unatembeza fomu za baba, mara mwenyekiti wa vijana...we do not gonna make a difference WITH THE OTHER LIERS!
 
kuna haki bongo??
kumejaa ushambenga kama ivo
puuuuh
 
Hongera kijana, Una Nafasi n zuri ya kufanya mambo mazuri kwa ajili ya nchi yako, usitumie kivuli , Tumia akili ,elimu na Busara uliyonayo ili uweze kufikia matarajio yako.
 
Back
Top Bottom