Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
alete maji tenaTumuombe atuletee maji jiji la kibiashara Daresalaam maji akuna.aibu,,,,CCM oyeeee.
hee ndio,,,chawa wanasema babu yake sijua baba aliwai kuishi huku matopeni,atusaidie hata kutuletea maji jiji la Dar serikali ya CCM imeshindwa.alete maji tena
Hamtaki uraia pacha ila mnakua wet mkiona mtu yeyote mwenye kaharufu tu ka utanzania anatoboa.
Wanakuwa wet kivipi ??!!๐
heeeeee ni kashesheKumbe Tanzania hatukufanya makosa ya kiufundi ya kuwa na wabunge na pia hata Naibu Spika ambao ni wenye asili ya watu wa Asia. Na tena kumbe siku moja inaweza ikatokea uwezekano wa kumpata kiongozi wa juu wa muhimili mmoja wa mchi ambaye atakuwa na asili ya watu wa Asia.
Hali ikizidi kuwa ngumu kiuchumi, kisiasa na kijamii, na Watanzania weusi wakizidi kuboronga katika mambo ya menejimenti na utawala, basi ifike wakati sasa tuzidi kuwaamini watu hawa. Kama Watanzania wenzetu hawa wenye asili ya Asia wametuzidi maarifa katika mikakati thabiti ya kuendesha taasisi binafsi zilizo imara na makampuni makubwa kwa mafanikio makubwa, basi tusisite kuwaamini kuongoza nafasi mbalimbali za juu zilizopo katika mihimili mitatu ya dola.
Naunga mkono hoja.Hongera Mhe. Rishi Sunak, Waziri Mkuu mteule wa Uingereza na karibu tena Afrika Mashariki.
View attachment 2399808
๐น๐ฟ #africa #tanztrust #tanzania #eastafrica
Naomba kujuzwaHongera Mhe. Rishi Sunak, Waziri Mkuu mteule wa Uingereza na karibu tena Afrika Mashariki.
View attachment 2399808
๐น๐ฟ #africa #tanztrust #tanzania #eastafrica