Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Katika wachezaji waliokua wamechokwa na mashabiki wao basi hutakosa kulitaja jina la Kibu Dennis
Alikua amechokwa haswa, kwa sisi tuliokua tunaangalia mpira huku vibanda umiza tulikuwa tunashuhudia jinsi alivyokuwa anaoga matusi mazito mazito pindi tu alipotaka kuingia uwanjani.
Ila alipokuja tu kocha Robertinho alizidi kuwashangaza wengi kwa kusema Katika kikosi cha Simba macho yake ya kwanza yamemuona Kibu Dennis.
Hapo matusi yakaongezeka kwa kocha na Kibu Dennis, ila Wazungu wanacmsimamo na wanasimamia wanachokiamini
Kweli Kibu Dennis alianza ku improve mechi baada ya mechi na naamimi huko mbeleni atakuwa mchezaji tegemeo kwenye timu ya Taifa na Timu yako
Hongera Robertinho, mimi nilianza kukubali kwenye mechi yako ya kwanza tu, timu imeelemewa na kwa ujasiri unamtoa Chama na timu inapata matokeo