Hongera Roberinho kwa kugundua kipaji cha Kibu Dennis

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,047
Reaction score
1,832
Katika wachezaji waliokua wamechokwa na mashabiki wao basi hutakosa kulitaja jina la Kibu Dennis

Alikua amechokwa haswa, kwa sisi tuliokua tunaangalia mpira huku vibanda umiza tulikuwa tunashuhudia jinsi alivyokuwa anaoga matusi mazito mazito pindi tu alipotaka kuingia uwanjani.

Ila alipokuja tu kocha Robertinho alizidi kuwashangaza wengi kwa kusema Katika kikosi cha Simba macho yake ya kwanza yamemuona Kibu Dennis.

Hapo matusi yakaongezeka kwa kocha na Kibu Dennis, ila Wazungu wanacmsimamo na wanasimamia wanachokiamini

Kweli Kibu Dennis alianza ku improve mechi baada ya mechi na naamimi huko mbeleni atakuwa mchezaji tegemeo kwenye timu ya Taifa na Timu yako

Hongera Robertinho, mimi nilianza kukubali kwenye mechi yako ya kwanza tu, timu imeelemewa na kwa ujasiri unamtoa Chama na timu inapata matokeo
 
Mkandaji nimeshuhudia akifanyiwa rafu kali sana. Aisee jamaa yupo vizuri
 
Hapo matusi yakaongezeka kwa kocha na kibu Dennis, ila Wazungu wanamsimamo na wanasimamia wanachokiamini
Kweli Kibu Dennis alianza ku improve mechi baada ya mechi na naamimi huko mbeleni atakua mchezaji tegemeo kwenye timu ya Taifa na Timu yako
Hongera Robertinho, mimi nilianza kukubali kwenye mechi yako ya kwanza tu, timu imeelemewa na kwa ujasiri unamtoa chama na timu inapata matokeo
Si walisema timu inatumia nguvu ya ziada toka Bagamoyo na kwingineko
 
Mimi namuona huyo Kibu Denis kama average player tu. Kwanza nina wasiwasi kama ana hata uwezo wa kupiga chenga!!

Maana mara zote namuona kama mtu wa kutumia nguvu nyingi! Halafu akili kidogo! Na kukimbia kimbia tu uwanjani kama nyumbu aliyeruhiwa na majangili. Hata magoli yake mengi anayofunga ni ya kubahatisha tu. Kwa ufupi tu hana maajabu.
NB:- Wafuasi wa Kibudenga, tafadhalini sana muwe wapole. Huu ni mtazamo wangu tu. Hivyo mnaweza kuupokea, au kuukataa. Mapovu sitaki.
 
Katika wachezaji waliokua wamechokwa na mashabiki wao basi hutakosa kulitaja jina la Kibu Dennis
Alikua amechokwa haswa, kwa sisi tuliokua tunaangalia mpira huku vibanda umiza tulikua tunashuhudia jinsi alivyokua anaoga matusi mazito mazito pindi tu alipotaka kuingia uwanjani.
Ila alipokuja tu kocha Robertinho alizidi kuwashangaza wengi kwa kusema Katika kikosi cha simba macho yake ya kwanza yamemuona Kibu Dennis.
Hapo matusi yakaongezeka kwa kocha na kibu Dennis, ila Wazungu wanamsimamo na wanasimamia wanachokiamini
Kweli Kibu Dennis alianza ku improve mechi baada ya mechi na naamimi huko mbeleni atakua mchezaji tegemeo kwenye timu ya Taifa na Timu yako
Hongera Robertinho, mimi nilianza kukubali kwenye mechi yako ya kwanza tu, timu imeelemewa na kwa ujasiri unamtoa chama na timu inapata matokeo
Mimi namuona huyo Kibu Denis kama average player tu. Kwanza nina wasiwasi kama ana hata uwezo wa kupiga chenga!!

Maana mara zote namuona kama mtu wa kutumia nguvu nyingi! Halafu akili kidogo! Na kukimbia kimbia tu uwanjani kama nyumbu aliyeruhiwa na majangili. Hata magoli yake mengi anayofunga ni ya kubahatisha tu. Kwa ufupi tu hana maajabu.
NB:- Wafuasi wa Kibudenga, tafadhalini sana muwe wapole. Huu ni mtazamo wangu tu. Hivyo mnaweza kuupokea, au kuukataa. Mapovu sitaki.
Ile mechi na Uganda niliposema Kibu angekuwepo tungeshinda mkanishambulia. Kuweni na akiba ya maneno na muwe mnapunguza mihemko na kufuata mkumbo.

Pamoja na kwamba wachezaji wetu walijituma sana ila wale Algeria hawakuwa na bahati tu maana walikuwa wanafanya kila walichokuwa wanataka isipokuwa kulenga mipira langoni
 
Mashabiki wa Yanga ni watu wa hovyo. Hamna akili hata kidogo, Manara ule msemo wake utaendelea kuishi.

Katika sifa za mchezaji bora, stamina (nguvu) na kasi ni moja ya vigezo vya juu kabisa katika uzingatifu.

Na katika sifa hizo, hakuna sifa ya chenga. Japokuwa Kibu ameshapiga chenga mara kadhaa.

Maana yake wewe unataka mchezaji anayejua chenga huku mwenye nguvu na speed akiwa mchezaji wa hovyo. Kama si uwendawazimu ni nini?

Kibu, iwe timu yeyote ndani ya nchi hii na Afrika Mashariki hakuna winga anayemfikia katika aina ya soka la kileo.

Ana nguvu, speed, passion na yupo devoted katika kupambana kila dakika. Ni mchezaji anayetekeleza majukumu yake ipasavyo.
 
Acga wivu...ww ni mzee wa familia ujuee...
Ongea uhalisia kwa jana ulimuonaje?
 
Mimi siku zote huwa ninaongea kitaalam. Kibu Denis na Clement Mzize ni wachezaji wanaopenda kukimbia na kutumia nguvu nyingi wawapo uwanjani! Huku wakitumia akili kidogo tu.
Kama unawapenda, waambie wabadilike mapema! Maana mpira wa miguu kwa sasa unawahitaji zaidi watu wenye matumizi makubwa ya akili kuliko nguvu na mbio!!
 
Mashabiki wa Yanga ni watu wa hovyo. Hamna akili hata kidogo, Manara ule msemo wake utaendelea kuishi.

Katika sifa za mchezaji bora, stamina (nguvu) na kasi ni moja ya vigezo vya juu kabisa katika uzingatifu.

Na katika sifa hizo, hakuna sifa ya chenga. Japokuwa Kibu ameshapiga chenga mara kadhaa.

Maana yake wewe unataka mchezaji anayejua chenga huku mwenye nguvu na speed akiwa mchezaji wa hovyo. Kama si uwendawazimu ni nini?

Kibu, iwe timu yeyote ndani ya nchi hii na Afrika Mashariki hakuna winga anayemfikia katika aina ya soka la kileo.

Ana nguvu, speed, passion na yupo devoted katika kupambana kila dakika. Ni mchezaji anayetekeleza majukumu yake ipasavyo.
Mchezaji anatakiwa awe na stamina, mbio na pia akili ya mpira! Na siyo nguvu na kukimbia kimbia tu uwanjani.
 
Katika wachezaji waliokua wamechokwa na mashabiki wao basi hutakosa kulitaja jina la Kibu Dennis

Alikua amechokwa haswa, kwa sisi tuliokua tunaangalia mpira huku vibanda umiza tulikuwa tunashuhudia jinsi alivyokuwa anaoga matusi mazito mazito pindi tu alipotaka kuingia uwanjani.

Ila alipokuja tu kocha Robertinho alizidi kuwashangaza wengi kwa kusema Katika kikosi cha Simba macho yake ya kwanza yamemuona Kibu Dennis.

Hapo matusi yakaongezeka kwa kocha na Kibu Dennis, ila Wazungu wanacmsimamo na wanasimamia wanachokiamini

Kweli Kibu Dennis alianza ku improve mechi baada ya mechi na naamimi huko mbeleni atakuwa mchezaji tegemeo kwenye timu ya Taifa na Timu yako

Hongera Robertinho, mimi nilianza kukubali kwenye mechi yako ya kwanza tu, timu imeelemewa na kwa ujasiri unamtoa Chama na timu inapata matokeo

Goal possession, Algeria 80.5%.

Bado nyumbu wanaruka na kukanyagana.
 
Ile mechi na Uganda niliposema Kibu angekuwepo tungeshinda mkanishambulia. Kuweni na akiba ya maneno na muwe mnapunguza mihemko na kufuata mkumbo.

Pamoja na kwamba wachezaji wetu walijituma sana ila wale Algeria hawakuwa na bahati tu maana walikuwa wanafanya kila walichokuwa wanataka isipokuwa kulenga mipira langoni
Hivi mpira wa jana mliangalia peke yenu, au! Mbona mnataka kutuaminisha kama huyo Kibu alifanya maajabu, na wakati timu nzima ya Tanzania ilicheza mpira mbovu kuanzia mwanzo wa mchezo mpaka mwisho!!
 
NGUVU Nyingi bila Akili ni sawa na UPUMBAVU.

KIBU anachweza kukupa ni NGUVU tu.

Ukichanganya NGUVU za KIBU+ Uwezo wa chama = Unaweza ukapata mchezaji Bora kabisa WA Dunia.
 
Hivi mpira wa jana mliangalia peke yenu, au! Mbona mnataka kutuaminisha kama huyo Kibu wenu alifanya maajabu, na wakati timu nzima ya Tanzania ilicheza mpira mbovu kuanzia mwanzo wa mchezo mpaka mwiso!!
Au ni kale kashuti kake kamoja ka on target ndiyo kamewapagaisha?
Kibu alivyocheza jana ndiyo anavyochezaga kila siku pale Simba kwa ubora na mapungufu yale yale. Comment yangu inawahusu nyie mnaomsifia leo wakati kila siku huwa mnamkandia.
 
Tangu lini niliwahi kumsifia Kibu Denis!! Utakuwa umechanganya mafaili bila shaka.
 
Kwakweli Kibu jana kafanya kazi ya ziada sana uwanjani
Mshambuliaji hupimwa kwa kuzifumania nyavu, wala si kwa kuhaha uwanjani!! Kwa jana hatuna kigezo cha kumsifu nacho KIbu Denis!! Simkatai Kibu, lakini kwa jana siyo!!
 
Back
Top Bottom