Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Natamani vijana wangu wawe Kama nilivyo Mimi ila natamani zaidi wawe na spirit aliyonayo Salum Mwalimu.
Ni kijana wa miaka 40 lakini uwezo wake unawazidi vijana wengi wa Rika lake. Ni kijana wa miaka arobaini ambaye ametambua umuhimu wa kuwazungumzia Wananchi kuliko kuajiriwa.
Nikijana ambaye angeweza kuanzisha biashara au chombo Cha habari lakini ameona awatumikie Watanzania.
Vijana wa aina yake wamebaki wachache si kwa sababu hakuna vijana wenye akili Bali kwa sababu wazee tulionao wameminya Uhuru wa vijana kuonyesha uwezo wao wakujiamulia mambo na kubuni mambo mapya.
Vijana wengi tulionao wenye uwezo mkubwa wakufikiri wamewekewa kizingiti mbele waamue kulipwa mshahara wakae kimya au wajitegemee wawe huru kifikra.
Taifa likiwa na vijana wa aina ya Salum Mwalimu wakawa huru kupambana na kusugua ubongo kwa hoja tutazalisha Watanzania wanaoweza kusimama nje ya mipaka yetu nakuzungumza.
Namkumbuka Masele alivyong'aa ndani na nje, Leo hata kugombea Ubunge amekosa ameambiwa zipo kazi nyingi atapangiwa. Lini atasimama apambane na vijana wenzake kwa hoja Kama atasubiri kupangiwa?
Tulikuwa na Nassary, akaanguka dhambini leo hii Taifa limekosa mchango wake na hata akiteuliwa hatotekeleza akili yake atatekeleza matakwa ya wakubwa zake.
Anaibuka Mbambalu Mwanza, badala tumwone Kama asset kwa nchi tunamwinda Kama mwalifu, lini tutalikomboa Taifa?
Hongera Salumu Mwalimu usikubali kuangamiza kipaji chako kwa vipande vya fedha.