Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Uajiriwe uwe mtumwa au ujiajiri uwe huru kifikra.Kuna picha inatembea miatandaoni kuwa alijisaidia kwenye suruali mitaa ya kinondoni hiyo nayo vipi?
Kuna picha inatembea miatandaoni kuwa alijisaidia kwenye suruali mitaa ya kinondoni hiyo nayo vipi?
Usimfananishe na LOWASSA wenuKuna picha inatembea miatandaoni kuwa alijisaidia kwenye suruali mitaa ya kinondoni hiyo nayo vipi?
Najaribu kujiuliza vijana kama Kafulila, Nassari, Shilinde, Lijualikali nk ambao tuliona waking'ara kwa matumizi bora ya akili wakiwa Chadema.CHADEMA ni chuo mahiri cha kuibua na kuendeleza vipaji
CHADEMA ni chuo bora cha kufundisha na kupika vijana kiuongozi na kisiasa
Wakati anachaguliwa mgombea mwenza wengi walimbeza sana...kuna mpaka post humu JF, lakini sasa amedhihirisha kuwa CHADEMA HAWAKOSEI
CCM ya sasa sio chama cha kisiasa tena bali ni genge la wapigaji., ukipeleka hoja zako mule unaonekana mzushi tu.Najaribu kujiuliza vijana kama Kafulila, Nassari, Shilinde, Lijualikali nk ambao tuliona waking'ara kwa matumizi bora ya akili wakiwa Chadema.
Lakini nini kimewapata baada ya kuvuka mstari na kujiunga na CCM?
Wamekuwa wajinga kupitiliza kiasi unamkuta mtu kama Shilinde anaweza kuzidiwa hoja kwa sasa hata na Lusinde wa Mtera.
Mbona mnalilia ajiraUajiriwe uwe mtumwa au ujiajiri uwe huru kifikra
Umewahi kuona mwanachadema mwenye njaa wewe. Sisi tunajielewa ndio maana tuko huru kifikra.
3/4 ya maisha yake unaijua? Unajua ataishi miaka mingapi?Miaka 40 siyo Kijana, acha ujinga, huyo ameshaishi 3/4 ya maisha yake tayari
Lakini mbaya zaidi vijana hao hao wanaopikwa na kukuzwa na chama hukigeuka baadae eti anaunga mkono juhudi? Are they serious?CHADEMA ni chuo mahiri cha kuibua na kuendeleza vipaji
CHADEMA ni chuo bora cha kufundisha na kupika vijana kiuongozi na kisiasa
Wakati anachaguliwa mgombea mwenza wengi walimbeza sana...kuna mpaka post humu JF, lakini sasa amedhihirisha kuwa CHADEMA HAWAKOSEI
Tuwekee hapa. Vingenevyo tutaipuuza hoja yako kama tunavyokupuuza wewe.Kuna picha inatembea miatandaoni kuwa alijisaidia kwenye suruali mitaa ya kinondoni hiyo nayo vipi?
Wape uganga chadema waweze kushinda uchaguzi.CHADEMA ni chuo mahiri cha kuibua na kuendeleza vipaji
CHADEMA ni chuo bora cha kufundisha na kupika vijana kiuongozi na kisiasa
Wakati anachaguliwa mgombea mwenza wengi walimbeza sana...kuna mpaka post humu JF ....lakini sasa amedhihirisha kuwa CHADEMA HAWAKOSEI
CHADEMA ni chuo mahiri cha kuibua na kuendeleza vipaji
CHADEMA ni chuo bora cha kufundisha na kupika vijana kiuongozi na kisiasa
Wakati anachaguliwa mgombea mwenza wengi walimbeza sana...kuna mpaka post humu JF ....lakini sasa amedhihirisha kuwa CHADEMA HAWAKOSEI
Lemutuz bado ni uvccmMiaka 40 siyo Kijana, acha ujinga, huyo ameshaishi 3/4 ya maisha yake tayari, ...