Hongera Samia Kum-Endorse Dr Ndugulile; Mtangulizi Wako Aliwazuia Membe, Likwelile na Mulamula Wasiende AU

Hongera Samia Kum-Endorse Dr Ndugulile; Mtangulizi Wako Aliwazuia Membe, Likwelile na Mulamula Wasiende AU

Mimi najuwa kuliko wewe MBURURA. Nafasi ya Dr Mwele haikuhitaji endorsement yake. Level aliyoingilia Mwele inahitaji CV yako na refrees tu. Na kama ungekuwa na akili nzuri ungekumbuka kuwa hata Dr Mwele Malecela alipokuwa WHO bado DIKTETA alimpiga vijembe kuwa "sisi tumemtoa huku, nashangaa watu wengine wamempa kazi".
Ndio maana na mimi nimekuambia Dr. Mwele ni CV yake ilimbeba/ ni kama kuwa appointed hakuhitaji kugombea wala

kuwa indorsed ndio kitu kilicho muudhi Magufuli kwa sababu yeye angemzuia.
 
Nani aliibuka bingwa kati ya yule bwana wa Butimba na Magufuli? Ni yule askari unless hukufuatilia vizuri. Magufuli alidhani yule askari atatetemeka!! Wala alibaki imara na akamuambia "umeniinua"
Alinyonyolewa nyota
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
images.jpeg-160.jpg
images.jpeg-90.jpg
 
RIP shujaa Magufuli yatasemwa mengi but atabakia kuwa the best of all.

Hongera sana Dr ndugulile

Watu washaibia Nchi vya kutosha unawapeleka huko kufanya nini ?

Ni kama Kenya kwa Raila sasa hivi AU , mtu hana uadilifu wowote just kujulikana unampeleka huko akafanye nini ?

Mambo ya kubebana kwenye hamna kwa JPM hayakuwa na Nafasi .
Magufuli has is pros and his cons, moja ya his cons ndio hizo, and list ni ndefu sio hao tu, he has problem with watu waliokuwa appointed kwneye hizo nafasi.
Although alikuwa mwana maendeleo ya kweli, upande mwingine alikwamisha wengine, haikuwa rafiki
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
A
Mwamba Magufuli hakuwahi kuwa na chuki na sisi watu wa Kagera. Kwa taarifa yako, ziara yake ya mwisho Kagera kabla hajafariki aliahidi akistaafu ataishi kwenye shamba lake la mifugo lililoko Kitengule, Missenyi, Kagera. Wewe unaweza kuishi na watu usiowapenda?
Hacha unafki,,Mr President JPM hakuwa na upuuzi,,alikuwa serious kulijenga Taifa
 
Back
Top Bottom