ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,436
- 4,756
Huu uzi ni Mfupi sana;
Ni Pongezi tu kwa Rais Samia Suluhu kwa kuilinda Jamhuri kikamilifu na kushughulikia wachache ili wengi waendelee kuwa chini ya Himaya ya Jamhuri ya muungano ya Tanzania;
Baada ya kufanya kazi hii nzuri unastahili Pongezi.Swali ni Je Mfumo Utakulinda?Au Utakutumia tu kisha ukuache as if haukuwahi kuwepo?
Najua wakati JPM anafanya yale aliyofanya ulihisi anakosea sana ila alikuwa anautumikia Mfumo swali Je mfumo ulifika naye wapi?Hata Jakaya Kikwete kuna mambo alifanya kwa ajili ya Kuilinda jamhuri na kuulinda mfumo Je Mfumo Unamlinda?Vipi kuhusu Mkapa,Nyerere,Mwinyi n.k.Je waliulinda Mfumo Je mfumo uliwalinda?
kama katia ya hao kuna ambao unaona au kuhisi kwamba Mfumo uliwalinda basi Jifunze kutoka kwao.Usipigane na asiyekuwa na Silaha wala kujeruhi asiyeweza kujitetea ila hakikisha unaulinda mfumo ili nao ukulinde?