Hongera Samia kwa kumfanya Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

Hongera Samia kwa kumfanya Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

Kuna mambo mengine yanakela basi tu,
Hizo sifa unazotoa umefikilia kabla ya kuazisha uzi?
Waziri yupo tu kabaki anaiaga kerere wateule wanamuangalia tu wala hawshituki,
Twambie mabasi ya mwendo kasi nini kiliendelea, bank kuu, na baadhi ya sehemu anazo pita na kuacha maelekezo.?
Pengine havienda kwa kasi unayoitaka wewe, labda ndo tatizo
 
Ila ya JPM yote ulitega masikio na kuyasikia,ila ya juzi hapa wizara ya fedha hukuyasikia.

Inaelekea yule mzee alikukuna sana au we ni mjane wake wa siri??
Kiongozi huu uzi mashoga hauwahusu tafadhali! Nenda kwa mashostito wenzio!
 
Issue ya matumizi yasiyoeleweka wizara ya fedha ameishughulikiaje?

Huyu bwana anabahati JIWE alitwaliwa, ama sivyo saa hizi huo uwaziri Mkuu angekwisha utema!!! Jiwe alikwisha muwashia taa nyekundu pale alipomwambia hadharani kuwa asiwe na uhakika wa kuwa atakuwa Waziri Mkuu kwa miaka kumi!!!
 
Huyu bwana anabahati JIWE alitwaliwa, ama sivyo saa hifi huo uwaziri Mkuu angekwisha utema!!! Jiwe alikwisha muwashia taa nyekundu pale alipomwambia hadharani kuwa asiwe na uhakika wa kuwa atakuwa Waziri Mkuu kwa miaka kumi!!!
Inawezejana kabusa
 
Kiongozi huu uzi mashoga hauwahusu tafadhali! Nenda kwa mashostito wenzio!
Kupenda kujadili na kupenda kusikia vitu unavyovipenda wewe tu hiyo ni tabia ya wazi kabisa kwa wale viumbe wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.

Mtoa uzi jitathmini.
 
Majaliwa kikatiba sio waziri mkuu..

Katiba inasema waziri mkuu atatokana na wabunge waliochaguliwa ..

Ila dikteta alikua ni kubadili gia tu hakuna utaratibu
 
Majaliwa kikatiba sio waziri mkuu..

Katiba inasema waziri mkuu atatokana na wabunge waliochaguliwa ..

Ila dikteta alikua ni kubadili gia tu hakuna utaratibu
Alichaguliwa bila kupingwa ndiyo maana alipewa cheti cha ushindi na mkurugenzi! Technically amechaguliwa na ni waziri mkuu.
 
Pumba tupu; Majaliwa ni yuleyule yule, na aliteuliwa na Magufuli Mwaka 2015 baada ya vetting ya karibu wiki tatu. Baada ya hapo, vetting ya mawaziri ilichukua karibu miezi miwili hivi. Majaliwa hakukuokotwa from nowhere baada ya Magufuli kufariki. Je Uliwahi kumsikia hapa wakati Magufuli akiwa hai?

"Mbaazi ni chakula chenye protini sana kuleni"🤣🤣🤣
Hawajamuelewa wanaloloma wakauze tu wapate hela
 
Kupenda kujadili na kupenda kusikia vitu unavyovipenda wewe tu hiyo ni tabia ya wazi kabisa kwa wale viumbe wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.

Mtoa uzi jitathmini.
Nilimsikia kiongozi mmoja wa dini akisema kuwa hata kuongea ongea tu na mabottoms km nyie ni dhambi pia, yatupasa kuwapitia mbali. Nakupitia mbali kabisa sasa
 
Pumba tupu; Majaliwa ni yuleyule yule, na aliteuliwa na Magufuli Mwaka 2015 baada ya vetting ya karibu wiki tatu. Baada ya hapo, vetting ya mawaziri ilichukua karibu miezi miwili hivi...
We utakuwa mgeni
 
Mifumo dhaifu na ujinga wa wananchi umesababisha ccm iendelee kuwepo ikituletea viongozi ndumilakuwili na wasakatonge!
 
Alichaguliwa bila kupingwa ndiyo maana alipewa cheti cha ushindi na mkurugenzi! Technically amechaguliwa na ni waziri mkuu.
Tume ipi hiyo hiyo ya kina Mahera aliyekua akimpigia kampeni Jiwe live?

Kwenye katiba kuna wabunge wa kupita bila kupingwa?
 
Tume ipi hiyo hiyo ya kina Mahera aliyekua akimpigia kampeni Jiwe live?

Kwenye katiba kuna wabunge wa kupita bila kupingwa?
ha ha haaa! Mkuu sasa unahamisha magoli! Usihamishe aisee, utavuruga mchezo
 
Back
Top Bottom