Pengine havienda kwa kasi unayoitaka wewe, labda ndo tatizoKuna mambo mengine yanakela basi tu,
Hizo sifa unazotoa umefikilia kabla ya kuazisha uzi?
Waziri yupo tu kabaki anaiaga kerere wateule wanamuangalia tu wala hawshituki,
Twambie mabasi ya mwendo kasi nini kiliendelea, bank kuu, na baadhi ya sehemu anazo pita na kuacha maelekezo.?
Kiongozi huu uzi mashoga hauwahusu tafadhali! Nenda kwa mashostito wenzio!Ila ya JPM yote ulitega masikio na kuyasikia,ila ya juzi hapa wizara ya fedha hukuyasikia.
Inaelekea yule mzee alikukuna sana au we ni mjane wake wa siri??
Swadaktaa, ndo jinachokisema haswaaKidogo saizi mawaziri na Viongozi wengine wanatumia weledi na uwezo wao badala ya hofu
Issue ya matumizi yasiyoeleweka wizara ya fedha ameishughulikiaje?
Inawezejana kabusaHuyu bwana anabahati JIWE alitwaliwa, ama sivyo saa hifi huo uwaziri Mkuu angekwisha utema!!! Jiwe alikwisha muwashia taa nyekundu pale alipomwambia hadharani kuwa asiwe na uhakika wa kuwa atakuwa Waziri Mkuu kwa miaka kumi!!!
Kupenda kujadili na kupenda kusikia vitu unavyovipenda wewe tu hiyo ni tabia ya wazi kabisa kwa wale viumbe wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.Kiongozi huu uzi mashoga hauwahusu tafadhali! Nenda kwa mashostito wenzio!
Alichaguliwa bila kupingwa ndiyo maana alipewa cheti cha ushindi na mkurugenzi! Technically amechaguliwa na ni waziri mkuu.Majaliwa kikatiba sio waziri mkuu..
Katiba inasema waziri mkuu atatokana na wabunge waliochaguliwa ..
Ila dikteta alikua ni kubadili gia tu hakuna utaratibu
Nilimsikia kiongozi mmoja wa dini akisema kuwa hata kuongea ongea tu na mabottoms km nyie ni dhambi pia, yatupasa kuwapitia mbali. Nakupitia mbali kabisa sasaKupenda kujadili na kupenda kusikia vitu unavyovipenda wewe tu hiyo ni tabia ya wazi kabisa kwa wale viumbe wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
Mtoa uzi jitathmini.
Ili iweje we labda kwa akili yako finyu na inayoonekana imejawa na are ya 'uchambaji'!Umesahau kuweka namba ya simu
We utakuwa mgeniPumba tupu; Majaliwa ni yuleyule yule, na aliteuliwa na Magufuli Mwaka 2015 baada ya vetting ya karibu wiki tatu. Baada ya hapo, vetting ya mawaziri ilichukua karibu miezi miwili hivi...
Kwanini kiongozi?Huwa na mashaka makubwa juu ya uwezo wa Majaliwa.
Tume ipi hiyo hiyo ya kina Mahera aliyekua akimpigia kampeni Jiwe live?Alichaguliwa bila kupingwa ndiyo maana alipewa cheti cha ushindi na mkurugenzi! Technically amechaguliwa na ni waziri mkuu.
ha ha haaa! Mkuu sasa unahamisha magoli! Usihamishe aisee, utavuruga mchezoTume ipi hiyo hiyo ya kina Mahera aliyekua akimpigia kampeni Jiwe live?
Kwenye katiba kuna wabunge wa kupita bila kupingwa?