brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Kwanza nakupongeza kwa kununua kifaa kimoja kimoja mpaka ukakamilisha bend, umeweza kumiliki bend yako mwenyewe yenye kila kitu.
Umeanza kuperform live band ya bongo fleva yenye ubunifu
Wasanii wengi wa bongo fleva wanaopiga live band wanafanya bongo fleva bolingo.
Yaani nyimbo za bongo fleva zinapigwa kwenye muundo wa bolingo kutokana na ukosefu vifaa ya kisasa, hasa wengi wao wakitegemea vifaa vya THT.
Show yako ya juzi ulipiga Zanzibar ilikuwa classic hakukuwa na bolingo ukiisikia number one ikipigwa live haina tofauti na ya kwenye CD,
Kiingilio cha 35,000 na 50, 000 pesa ilienda halali kapiga.
Nyimbo ya mbagala uliimba kwa mahadhi ya kipekee na ilikuwa romantic sana
Hongera sana kijana kwa kuwa makini na kazi yako