Hongera sana Diamond, kwa live band hii umeleta kitu kipya

Hongera sana Diamond, kwa live band hii umeleta kitu kipya

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Kwanza nakupongeza kwa kununua kifaa kimoja kimoja mpaka ukakamilisha bend, umeweza kumiliki bend yako mwenyewe yenye kila kitu.
Umeanza kuperform live band ya bongo fleva yenye ubunifu
Wasanii wengi wa bongo fleva wanaopiga live band wanafanya bongo fleva bolingo.

Yaani nyimbo za bongo fleva zinapigwa kwenye muundo wa bolingo kutokana na ukosefu vifaa ya kisasa, hasa wengi wao wakitegemea vifaa vya THT.
Show yako ya juzi ulipiga Zanzibar ilikuwa classic hakukuwa na bolingo ukiisikia number one ikipigwa live haina tofauti na ya kwenye CD,

Kiingilio cha 35,000 na 50, 000 pesa ilienda halali kapiga.
Nyimbo ya mbagala uliimba kwa mahadhi ya kipekee na ilikuwa romantic sana
Hongera sana kijana kwa kuwa makini na kazi yako
 
 
Ngoja kwanza nifanye uhakiki isije ikawa hongera hewa. But km ni kweli hongera yake
 
huyu jamaa tunaaminishwagwa hajui live perfomance
 
Anayemchuki atakuwa mchawi ivi unaanzaje kumchukia
 
Wanaomchukia ndo walizusha hii kitu lakini diamond mwenyewe alisema ataanza kuimba live band akiwa na band yake , akasema hawezi imba bongo fleva bolingo ndo masna alikuwa anajipanga kupata vifaa vya kisasa na vyote muhimu

Kwaa anaemchukia Diamond atakuwa na matatizo ya akili.

Hongera sana Simba. sijawahi kwenda kwenye tamasha lolote lile ila saivi ukiwa na show hapa Dar hakika ntakuja
Hivi ni kweli kuna watu wana mchukia au tu ni kwamba hawamshabikii, maana kundi la watu kumchukia mtu anayefanya maisha yake sjui kama inawezekana.
 
Bora ajifunze kufanya show na band maana juzi south africa kwenye MTV mama alihema jukwaani utadhani anakimbizwa na Ivan the don.

Safi sana.
 
Back
Top Bottom