Hongera Sana FaizaFoxy, Mshindi wa U-miss JF 2023/2024

Hongera kwa dada yangu FaizaFoxy.
Binafsi ni miongoni mwa waliompigia kura licha ya kupishana mitazamo.

Namfahamu Faiza ni mrembo chotara mmoja wa haja licha ya umri kumtupa mkono.

FaizaFoxy, umepata habari Mhando kumbe alifariki miezi kadhaa nyuma mwaka huu na mwili uliletwa toka US. Mara ya mwisho uliuliza nikakueleza yu Canada. Alale pema peponi Mhando!
 
Mimi nilivyoshinda Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums Msimu wa mwaka 2022/2023 huku nikiwaacha mbali mno Wapinzani wangu nilipata Zawadi ya Hela na Kitu kingine cha Kihistoria na Kumbukumbu Kwangu je, huyu Mshindi wako Yeye anapata / atapata nini labda?
 
Ety mrembo wa haja[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…