Hongera Sana FaizaFoxy, Mshindi wa U-miss JF 2023/2024

Hongera Sana FaizaFoxy, Mshindi wa U-miss JF 2023/2024

Mashindano ni batili, huwezi shindanisha watu kizani tu. Hata mashindano ya Miss Tanzania kuanzia ngazi ya chini hua tunaona picha za wanaoshindania taji. Wewe unakuja tu hapa na kutangaza matokeo bila picha za wahusika tutaamini vipi kama kweli hao uliowashindanisha ni warembo na wamestahiki kuvishwa taji?!
 
Ahsanteni sana mliopendekeza jina langu na mwisho wa siku kulichaguwa.

Kiislam haturuhusiwi kujitokeza kwenye uchaguzi wowote na ndicho nilichokifanya. Sikuomba mtu anichaguwe wala sijatia langu kuhamasisha yeyote.

Ahsanteni sana wote.

Nnau dedicate ushindi huu kwa watoto wote wanaouliwa Palestina. Hao ndiyo mashujaa wa kweli.

Kama ushindi huu unaambatana na zawadi yeyote basi waandaaji wapeleke zawadi kituo chochote cha kujifungulia kina mama na mtoto mchanga wataemkuta kwanza kwenye kituo wampe hiyo zawadi yote. Kwa upendo na furaha na kuwaenzi watoto wasio na hatia bila kujali rangi, kabila wala imani ya wazazi wake.

Ahsanteni sana, nawatakia heri ya mwaka mpya na nawapenda wote.

Allahu Akbar.
 
Hongera kwa dada yangu FaizaFoxy.
Binafsi ni miongoni mwa waliompigia kura licha ya kupishana mitazamo.

Namfahamu Faiza ni mrembo chotara mmoja wa haja licha ya umri kumtupa mkono.

FaizaFoxy, umepata habari Mhando kumbe alifariki miezi kadhaa nyuma mwaka huu na mwili uliletwa toka US. Mara ya mwisho uliuliza nikakueleza yu Canada. Alale pema peponi Mhando!
Inna li Llahi wa inna Ilayhi Rajiun.

Mhando wa kina Mtambo wa pale Ukame?

Allahu Akbar. Machozi yamenitoka niliposoma hii habari, nimekumbuka sana.
 
Ahsanteni sana mliopendekeza jina langu na mwisho wa siku kulichaguwa.

Kiislam haturuhusiwi kujitokeza kwenye uchaguzi wowote na ndicho nilichokifanya. Sikuomba mtu anichaguwe wala sijatia langu kuhamasisha yeyote.

Ahsanteni sana wote.

Nnau dedicate ushindi huu kwa watoto wote wanaouliwa Palestina. Hao ndiyo mashujaa wa kweli.

Kama ushindi huu unaambatana na zawadi yeyote basi waandaaji wapeleke zawadi kituo chochote cha kujifungulia kina mama na mtoto mchanga wataemkuta kwanza kwenye kituo wampe hiyo zawadi yote. Kwa upendo na furaha na kuwaenzi watoto wasio na hatia bila kujali rangi, kabila wala imani ya wazazi wake.

Ahsanteni sana, nawatakia heri ya mwaka mpya na nawapenda wote.

Allahu Akbar.

Mungu mkubwa!
Barikiwa
 
Hamas wanaruhusiwa kushindana umiss kweli?

Unategemea u miss wa nini.

Unamfahamu Hannan Ashrawi?
1704124287167.png
 
Mngeweka wanawake wote halafu ndio museme hivyoo mumeweka baadhi so nimiss wa wale uliowaweka pekee yao
 
Back
Top Bottom