Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Acha mbambambaNisameh sana, sijaona. Siyo kawaida yangu kutokujibu.
Msaada upi unahitaji uliandika wapi?
Siwezi kabisa kuikataa pepo.
Ni kumtukuza Mwenyezi Mungu.Allahu Akbar pia (japo sijaelewa maana yake [emoji23][emoji23][emoji23]).
Unatafuta mume?Acha mbambamba
Kesho nitafue posta mpya jirani na kwa msajili tuyajengee๐๐
๐๐๐Nilipiga kampeni pm kwa pm ili uchukue, kimyakimya ๐watajua hawajui๐๐Yaani hizo comeemnyts zingine imebaki nicheke tu.
Maana mshindi halafu nikasirike tena?
Bado "hamjasema".
Eeh ๐๐nioe Basi๐Unatafuta mume?
Nasubiri uingie kwenye Nuru ya Allah.Sikua, na taarifa kuhusu hili shindano, hata mimi ningelipigia kura hilo ligaidi la HAMAS ili lifundishwe upendo maana lina roho nyeusi iliyokubuhu.
FaizaFoxy
Safi sana,Mungu awabariki wote wana jf na mwanzilishi wake,na Bi FaizafoxyKheri ya Mwaka Mpya Wakuu!
Kama mjuavyo dunia inabadilika. Na Uwepo wa JF ni moja ya vithibitisho hivyo kuwa Dunia ya sasa imebadilika.
Hatujuani kutokana na wengi kutumia Anonymous ID lakini hiyo haimaanishi kuwa hatujuani kifikra, kimawazo, kiitikadi, kiimani, kihisia na mambo mengineyo.
JF utaficha Physical body yako lakini hiyo haimaanishi utaficha Inner body. Kwa Sisi Watibeli. Inner Body ndio ina Matter kuliko Physical body.
Shindano la U-miss JF lililenga zaidi kwenye Inner body Kwa Sababu kama ni Physical body wengi hatujuani humu.
Mvuto wa ndani kabisa ndio uliopelekea Watu kupiga kura pasipo kujua Physical body ya wahusika.
Huenda mhusika akawa ni mzee kiumri katika Physical body lakini umbo la ndani akawa kigoli mwenye umbo la mdoli asiye huna.
Huenda Physical body ya wagombea zimechoshwa na shida na asili ya ulimwengu, uzee na magonjwa vimevikongoroa na kuvifanya viungo vyao kuwa dhaifu na vilivyokosa mvuto kama wapiga kura wengine walivyotoa maoni na mtazamo wao lakini ukweli utabaki kuwa upo mvuto wa ndani kabisa ambao unaweza kuvutia Watu na kutofautisha mvuto baina ya mtu mmoja na mwingine.
FaizaFoxy kwa mwaka huu ndiye Mwanamke mrembo zaidi ndani ya JF, bila kujali wapo watakaokataa au watakaokubali lakini kama mlivyoona kura ndio zimeeleza hayo.
Tofauti ya kura tano tuu zimemuibua FaizaFoxy kama kigoli na mrembo ndani ya JF.
Hongera Sana Miss JF FaizaFoxy kwa mwaka 2023/2024.
Nawapongeza Washiriki wengine hasa mshindani wake aliyeshika nafasi ya pili Leejay49
Nawapongeza pia Wapiga kura kwa kutoa muda na maoni yenu kuhusu Mrembo mnayevutiwa naye.
Nampongeza Mpiga Kampeni GENTAMYCINE AKA Popoma kwa kufanya kazi kubwa ya kupiga Kampeni kwa mgombea wake. Bila shaka kushika ya pili kwa Leejay49 kumechagizwa na Popoma.
Hata hivyo jitihada zao zimegonga mwamba kwa kisiki cha mpingo, Mama wa Hamas, Bibi Kamusi, mwalimu wa usiku, Ostadhat mwenye kupenda dini yake FaizaFoxy
Kwa wale walioona jambo hili lilikuwa ni ujinga pia tunawashukuru kwa muda na mtazamo wao.
Kuwataja hapa Washindani hao ni zawadi tosha. Hakuna jambo zuri kwenye maisha kama appreciation na Recognition.
Wale ambao hawajawahi hata kufanyiwa appreciation na Recognition hata na Wake/waume zao, wazazi wao, watoto wao au marafiki zao hawawezi kuelewa kitu hapa. Zaidi nawapa pole.
Nawatakia Mwaka mpya Mwema.
Yeyote ambaye nimemkwaza kwa namna yoyote ile anisamehe. Mimi sinaga msamaha kwa sababu hakuna anayenikosea humu.
Kauli mbiu ya mwaka 2024 " Adui atanyooka"
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Same to you and all JF team.Happy New year Faizaa๐ค
๐๐๐cocastic
Kuna kijana mwenzio anatafuta mume humu.
Wavaa Kobazi wanamfuata Yesu kwa vitendo,mavazi ya Yesu ni kanzu,kitambaa shingoni,ndevu kidevuni,na kobazi miguuni.Yesu hakuwahi kuvaa suti,suruali,shati wala but.Na hakunyoa ndevu.This was strategic.
Ili kuzidi kupaisha umaarufu wa Kigalula. Na kuendeleza porojo za wavaa makobazi na Hamas.
This was strategic.
Ili kuzidi kupaisha umaarufu wa Kigalula. Na kuendeleza porojo za wavaa makobazi na Hamas.
Nifah nilikuwa nampiga tau uzi wake bila yeye wala mimi kuelewa.Sema huyu bibi ni bonge la entertainer ๐๐๐.... kuna saa unamkuta kwenye uzi wa mbea Nifah anakaribia kabisa kuharibu uzi wa watu kwa comments zake za kiwaki.
Kheri ya Mwaka Mpya Wakuu!
Kama mjuavyo dunia inabadilika. Na Uwepo wa JF ni moja ya vithibitisho hivyo kuwa Dunia ya sasa imebadilika.
Hatujuani kutokana na wengi kutumia Anonymous ID lakini hiyo haimaanishi kuwa hatujuani kifikra, kimawazo, kiitikadi, kiimani, kihisia na mambo mengineyo.
JF utaficha Physical body yako lakini hiyo haimaanishi utaficha Inner body. Kwa Sisi Watibeli. Inner Body ndio ina Matter kuliko Physical body.
Shindano la U-miss JF lililenga zaidi kwenye Inner body Kwa Sababu kama ni Physical body wengi hatujuani humu.
Mvuto wa ndani kabisa ndio uliopelekea Watu kupiga kura pasipo kujua Physical body ya wahusika.
Huenda mhusika akawa ni mzee kiumri katika Physical body lakini umbo la ndani akawa kigoli mwenye umbo la mdoli asiye huna.
Huenda Physical body ya wagombea zimechoshwa na shida na asili ya ulimwengu, uzee na magonjwa vimevikongoroa na kuvifanya viungo vyao kuwa dhaifu na vilivyokosa mvuto kama wapiga kura wengine walivyotoa maoni na mtazamo wao lakini ukweli utabaki kuwa upo mvuto wa ndani kabisa ambao unaweza kuvutia Watu na kutofautisha mvuto baina ya mtu mmoja na mwingine.
FaizaFoxy kwa mwaka huu ndiye Mwanamke mrembo zaidi ndani ya JF, bila kujali wapo watakaokataa au watakaokubali lakini kama mlivyoona kura ndio zimeeleza hayo.
Tofauti ya kura tano tuu zimemuibua FaizaFoxy kama kigoli na mrembo ndani ya JF.
Hongera Sana Miss JF FaizaFoxy kwa mwaka 2023/2024.
Nawapongeza Washiriki wengine hasa mshindani wake aliyeshika nafasi ya pili Leejay49
Nawapongeza pia Wapiga kura kwa kutoa muda na maoni yenu kuhusu Mrembo mnayevutiwa naye.
Nampongeza Mpiga Kampeni GENTAMYCINE AKA Popoma kwa kufanya kazi kubwa ya kupiga Kampeni kwa mgombea wake. Bila shaka kushika ya pili kwa Leejay49 kumechagizwa na Popoma.
Hata hivyo jitihada zao zimegonga mwamba kwa kisiki cha mpingo, Mama wa Hamas, Bibi Kamusi, mwalimu wa usiku, Ostadhat mwenye kupenda dini yake FaizaFoxy
Kwa wale walioona jambo hili lilikuwa ni ujinga pia tunawashukuru kwa muda na mtazamo wao.
Kuwataja hapa Washindani hao ni zawadi tosha. Hakuna jambo zuri kwenye maisha kama appreciation na Recognition.
Wale ambao hawajawahi hata kufanyiwa appreciation na Recognition hata na Wake/waume zao, wazazi wao, watoto wao au marafiki zao hawawezi kuelewa kitu hapa. Zaidi nawapa pole.
Nawatakia Mwaka mpya Mwema.
Yeyote ambaye nimemkwaza kwa namna yoyote ile anisamehe. Mimi sinaga msamaha kwa sababu hakuna anayenikosea humu.
Kauli mbiu ya mwaka 2024 " Adui atanyooka"
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Umewahi kuusikia msemo "Old is Gold"?hivi huwa mnakua mmerogwa au