Hongera sana Gwajima, kwa hoja umeishinda kamati ila kwa nguvu wamekushinda

umesikia jamaa lako walikua wakiliomba evidence halina linakaa kimya
 
Yaani maadhimio mtu kumpeleka kwenye chama? Leo hii bunge linakiagiza chama?
Mnapocheza maagizo mtumie basi brain. Hapo ni kinyume chake yaani chama ndo kimechora script halafu kilisingizie bunge kuwa walituletea wao!!
 
Serikalini kumejaa vilaza..si ndio mnasema hivyo
 
mkuu ungeweka matokeo tuyajadiri. Umefura sana kwa hasira.
 
Kosa kubwa linalo mfunga gwajima ni kusema eti viongozi waliopokea chanjo walipewa hongo na mataifa yenye nguvu kiuchumi.
 
mkuu ungeweka matokeo tuyajadiri. Umefura sana kwa hasira.
Sana aiseeee... Hawa watu wameonesha upuuzi sana. Ilitakiwa tumkate Gwajima kichwa kwa njia hii kwa hoja ...but ametushinda tunaonekana wote mabwege tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…