Hongera sana homeboy kwa kumleta Flora (Mbasha) Henry nyumbani

Status
Not open for further replies.
Nimelazimika kukupongeza mdogo wangu (kijana mwezangu) kupitia jukwaa hili baada ya kujulishwa na wife kupokea kadi ya mwaliko wa harusi yako. Baadae leo nimeona EATV wameposti habari inayomhusu ex husband wa mke wako mtarajiwa na hapo hapo watu wakaanza hukumu zao zisizo na mashiko, mbele wala nyuma.
Hakika umechukua hatua zuri ya kuoa mtu maarufu. Naamini utakumbana na kila aina ya maneno, misukosuko na kukatishwa tamaa. Mdogo wangu Kumbuka binadamu huwezi kuwazuia kuongea na kueleza hisia zao lkn unachotakiwa kufanya na mkeo mtarajiwa ni kumtanguliza mungu mbele kuliko binadamu anayesubiri hukumu mbiguni. Nakuahidi tashiriki harusi yako na kama sitakuja mama Pagi ataniwakilisha kikamilifu. Mungu akwinhe Lobhago
47d7f62d602ca58e0b5c398e0201e970.jpg
6f31dfc767cad2cee10eaf19d686df53.jpg
9fecff5962b9672b9a1ddd5ef54052a8.jpg
From hero to zero...!!!! They used to mentor others and encouraged other people's marriages; inside and outside the church but today...very sad Ng'wanapagi!!!
 
Hii itakuwa ndoa ambayo itafungishwa na mkuu wa wilaya/mkoa au ni yake kimila, ndoa ya kanisani ni mara moja tu ktk maisha ya mkristo. Kwa uelewa wangu,sijui km mke/mme akifariki sheria za dini ya kikristo huwa zinasemaje.
Ngoja wataalamu waje watudadavulie... Anyway, hongereni kwa hatua nzuri mliyofikia maharusi watarajiwa.
 
Nimelazimika kukupongeza mdogo wangu (kijana mwezangu) kupitia jukwaa hili baada ya kujulishwa na wife kupokea kadi ya mwaliko wa harusi yako. Baadae leo nimeona EATV wameposti habari inayomhusu ex husband wa mke wako mtarajiwa na hapo hapo watu wakaanza hukumu zao zisizo na mashiko, mbele wala nyuma.
Hakika umechukua hatua zuri ya kuoa mtu maarufu. Naamini utakumbana na kila aina ya maneno, misukosuko na kukatishwa tamaa. Mdogo wangu Kumbuka binadamu huwezi kuwazuia kuongea na kueleza hisia zao lkn unachotakiwa kufanya na mkeo mtarajiwa ni kumtanguliza mungu mbele kuliko binadamu anayesubiri hukumu mbiguni. Nakuahidi tashiriki harusi yako na kama sitakuja mama Pagi ataniwakilisha kikamilifu. Mungu akwinhe Lobhago
47d7f62d602ca58e0b5c398e0201e970.jpg
6f31dfc767cad2cee10eaf19d686df53.jpg
9fecff5962b9672b9a1ddd5ef54052a8.jpg
Roho ya uzinzi na uasherati at work. Pathetic.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom