Uchaguzi 2020 Hongera sana ITV kwa kurusha habari kwa usawa kwa vyama vyote

ITV ni chombo pekee kinacho jiamini na kisicho na mkono wa mwanasiasa yeyote ndio maana kinasimama. huenda wamewahi pata mombi ya wanasiasa kutaka hisa ikawa ngumu, haikuwa hisa tu bali kuendesha tv kisiasa zaidi sasa lazima vyombo kama hivi viendelee kuwa superbrand
 
Kwakuwa tu umewapa sifa ITV kwa kurusha habari za "wasiyempenda" siku chache zijazo utasikia wamefungiwa kwa siku 7.

Tanzania itarejea kwenye misingi ya Uhuru na umoja jiwe akiondoshwa 28/10/2020. Na ndipo tutaanza kupata Maendeleo.
Kukwama kwetu kunaanzia hapa kuogopa kufungiwa uoga ni dhambi mbaya
 
Azam ndio kila kitu. Wanajithidi Sana na pia weledi wa Hali ya juu sana.
 
The work of the media is to report the news and news only,impartiality,objectivity and subjectivity will come after the viewer has digested the news..Credit where credit is due,ukiangalia ITV miaka yote ,you'll never feel as if you are being force-fed propaganda. Unfortunately most media carry water for politicians
 
Magufuli ameharibu nchi yetu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…