Hongera sana, kama Ally Kamwe angechomwa sindano tu leo tusingekuwa naye

Naskia kwanza walitaka wamwekee dripu.
Mzee akagoma kama kawaida

Ally Kamwe Yuko tayari kupoteza maisha kwa ajiri ya Yanga yake.

Ila huyo mnaye mwita Privadinyo hakubali ng'o.
Yupo kidigitali zaidi.
Ila Ally akiendelea na huo mchezo tutakuja kumpoteza mazima muda si mrefu.
Ana mapenzi ya kweli na team,
 
Sizitaki mbichi hizi, alisikika akisema sungura.
Hii ndio ilipaswa iwe kauli mbiu ya Utopolo Fc.
Hakuna kitu kilikuwa na kinaendelea kuwauma utopolo kama Simba kuendelea kutesa kimataifa.Hili limo mioyoni mwao hadi sasa.Ukipata fursa waangalie nyuso zao zilivyosawijika kama wamebugia vijiko vya saruji.
 
Mpira ungekuwa hivi vilabu vyetu na timu ya taifa tungechukua vijana mtaani tufike fainali makombe yote. Kila mechi anatafutwa mtu mmoja wa kuzimia.
Inawezekana labda hujajua kwanini hizi timu haziendelei,niliwahi shuhudia timu nlmojawapo Kati ya hizi wakifanya ushilikiana tena pale uwanjani usiku na mganga alikuwa mtu wangu kutoka tundulu.Siku hiyo mganga aliwambia tafuteni mwanamke na wanawake wa hizi timu wamevulugwa sababu Yule mama alivua nguo mbele yetu wanaume zaidi ya 20 tuliokua mule ndani kisha akaenda uwanjani akiwa mtupu katikati ya uwanja akaambiwa ainame makalio yaangalie goli la upande mmoja Huku Yule Mzee kuna maneno anazungumza Acha baada ya hapo akachinjwa Kuku Yule Kuku alikuwa anapapalika kutoka goli moja anapita katikati ya miguu ya Yule mwanamke aliye uchi zaidi ya nusu saa baada ya hapo akawambia mmeshinda na kweli kesho yake timu inashinda.hizi timu kwenye ushilikina Wana mambo mengi
 
Sema HAWA NDO WAPUMBAVU ninaowajua. Mijitu mizima kkutwa kujadili ushirikina utadhani miganga ya kienyeji!!
Kwann team zingine wasemaji wao wasibebe hayo manyanga ili zifike mbali? Wabongo hawataki kukubali kwenye uwekezaji wa kisoka
 
Inawezekana labda hujajua kwanini hizi timu haziendelei,niliwahi shuhudia timu nlmojawapo Kati ya hizi wakifanya ushilikiana tena pale uwanjani usiku na mganga alikuwa mtu wangu kutoka tundulu.Siku hiyo mganga aliwambia tafuteni mwanamke na wanawake wa hizi timu wamevulugwa sababu Yule mama alivua nguo mbele yetu wanaume zaidi ya 20 tuliokua mule ndani kisha akaenda uwanjani akiwa mtupu katikati ya uwanja akaambiwa ainame makalio yaangalie goli la upande mmoja Huku Yule Mzee kuna maneno anazungumza Acha baada ya hapo akachinjwa Kuku Yule Kuku alikuwa anapapalika kutoka goli moja anapita katikati ya miguu ya Yule mwanamke aliye uchi zaidi ya nusu saa baada ya hapo akawambia mmeshinda na kweli kesho yake timu inashinda.hizi timu kwenye ushilikina Wana mambo mengi
Kilichofanyika ni igizo lililojenga imani kuwa sasa tukapambane. Sawa tu na Jamaa aliyeamini amelogwa ana Chura tumboni na akakonda kwa mawazo mpaka dr mmoja alipomfanyia oparation feki akaweka chura mkubwa pembeni ili akizunguka amkute na jamaa akazinduka akapona.
 
Inawezekana siwezi kubisha katika Hilo lakini kwenye inshu ya ushilikina kuanzia timu za Mpira ni kawaida Sana Ipo ligi moja pale mkoani Tanga mchezaji aliambiwa ukifunga goli lazima ufe na Sisi tukiwepo kabisa na kweli Yule jamaa akatoka nje aliyeingia zamu yake akafunga goli na hapo hapo akadondoka na kufa
 
Inawezekana labda hujajua kwanini hizi timu haziendelei,niliwahi shuhudia timu nlmojawapo Kati ya hizi wakifanya ushilikiana tena pale uwanjani usiku na mganga alikuwa mtu wangu kutoka tundulu.Siku hiyo mganga aliwambia tafuteni mwanamke na wanawake wa hizi timu wamevulugwa sababu Yule mama alivua nguo mbele yetu wanaume zaidi ya 20 tuliokua mule ndani kisha akaenda uwanjani akiwa mtupu katikati ya uwanja akaambiwa ainame makalio yaangalie goli la upande mmoja Huku Yule Mzee kuna maneno anazungumza Acha baada ya hapo akachinjwa Kuku Yule Kuku alikuwa anapapalika kutoka goli moja anapita katikati ya miguu ya Yule mwanamke aliye uchi zaidi ya nusu saa baada ya hapo akawambia mmeshinda na kweli kesho yake timu inashinda.hizi timu kwenye ushilikina Wana mambo mengi
Kilichofanyika ni igizo lililojenga imani kuwa sasa tukapambane. Sawa tu na Jamaa aliyeamini amelogwa ana Chura tumboni na akakonda kwa mawazo mpaka dr mmoja alipomfanyia oparation feki akaweka chura mkubwa pembeni ili akizunguka amkute na jamaa akazinduka akapona.
 
Hapo Makolombwezo/ Mbumbumbu Wamatopeni/ Kolouzidad/ Wakiona Nyuzi Kama Hizi Wanafurahi Sana Mzee Mwenzangu.

Mzee Mwenzangu Vipi Ushaona Tunaepewa Quarter Finals Maana Upande Wa Pili Ishaoneka Wanaenda Kumpokea Mamelod
 
Hakuna kitu kilikuwa na kinaendelea kuwauma utopolo kama Simba kuendelea kutesa kimataifa.Hili limo mioyoni mwao hadi sasa.Ukipata fursa waangalie nyuso zao zilivyosawijika kama wamebugia vijiko vya saruji.
Nawamithilisha na mtoto mwenye ushindani darasani na mchoyo wa majibu.
Ikitokea mmefanya mtihani na majibu kutoka halafu yule anaeonekana mtupu kichwani kapasi zaidi ya kipanga. Kipanga anaweza hata kujinyonga.

Utopolo wana maumivu makubwa sana ya nafsi kwa sasa.
 
Tukio la Ally Kamwe kuzimia limekuwa tukio la kusisimua sana kutokana na mkasa wenyewe kuwa mzito na kuepushwa matokeo ambayo yangekuwa ya huzuni.

Ally Kamwe alibeba vitu vizito siku ile. Kabla ya match alikuwa akihangaika sana na wazee ambao tunashukuru Ally Kamwe aliamua kujitoa mhanga tofauti na yule dogo Privadinho ambaye aliendekeza ubitozi sana.

Alipoelemewa na kuzimia haraka alikimbizwa hospitali, Mzee "Matata" alikuwa mmoja ya waliomsindikiza Hospital. Walipomchukua kumpeleka chumba cha wagonjwa wa haraka wa dharura. Mzee alisema "Msimchome sindano mwacheni apumzike" akawataka wauguzi watoke.

Ndipo akamtoa mizigo aliyokuwa amebebeshwa na hapo akarudiwa na fahamu na nguvu. Akawa mzima kabisa.

Hii ni pongezi kwake kwa kujitoa mhanga kipindi ambacho pengine wengi wangeingiwa woga. Wanayanga tunapaswa kumheshimu sana Ally Kamwe.
Priva ni mtoto wa kikkristu bro ! Hiyo technologia ya mizigo inapingana na Imani yake
 
Naskia alibeba gujini makata kiunoni,ndo guli mkata mtama.
 
Tukio la Ally Kamwe kuzimia limekuwa tukio la kusisimua sana kutokana na mkasa wenyewe kuwa mzito na kuepushwa matokeo ambayo yangekuwa ya huzuni.

Ally Kamwe alibeba vitu vizito siku ile. Kabla ya match alikuwa akihangaika sana na wazee ambao tunashukuru Ally Kamwe aliamua kujitoa mhanga tofauti na yule dogo Privadinho ambaye aliendekeza ubitozi sana.

Alipoelemewa na kuzimia haraka alikimbizwa hospitali, Mzee "Matata" alikuwa mmoja ya waliomsindikiza Hospital. Walipomchukua kumpeleka chumba cha wagonjwa wa haraka wa dharura. Mzee alisema "Msimchome sindano mwacheni apumzike" akawataka wauguzi watoke.

Ndipo akamtoa mizigo aliyokuwa amebebeshwa na hapo akarudiwa na fahamu na nguvu. Akawa mzima kabisa.

Hii ni pongezi kwake kwa kujitoa mhanga kipindi ambacho pengine wengi wangeingiwa woga. Wanayanga tunapaswa kumheshimu sana Ally Kamwe.
mtasema mengi
 
Mnapenda sana kutanguliza ushirikina kwenye kila kitu

Siku hizi hamtaki hata kuamini kwenue bidii za watu kila out come ambayo hukuitegemea unaita uchawi.
 
Back
Top Bottom