Hongera sana, kama Ally Kamwe angechomwa sindano tu leo tusingekuwa naye

Hongera sana, kama Ally Kamwe angechomwa sindano tu leo tusingekuwa naye

Tatizo haya madude huwa hayaachi deni limalizike, yanahakikisha uje ulipie sadaka mliyokubaliana. Yaani hilo agano aliloingia dogo ajue ni deni atatoa tu either yeye au mtu wake wa karibu, labda ajisalimishe kwa Yesu
 
Mnapenda sana kutanguliza ushirikina kwenye kila kitu

Siku hizi hamtaki hata kuamini kwenue bidii za watu kila out come ambayo hukuitegemea unaita uchawi.
Bongo vyote vinafanyika bidii na uchawi kwa pamoja
 
Back
Top Bottom