Weka mzigo hapa tuhakikishe.Naomba nitumie nafasi hii kumpongeza Sana kijana mwenzangu, mwanamziki KAYUMBA kwa kazi nzuri unayoifanya.
Napenda Sana kazi zake. Na hii ngom mpya ya CHUNGA umetulia Sana kuanzia MAUDHUI, MELODY, MATUMIZI YA LUGHA (hajatumia lugha za matusi unaweza kusikiliza na wazazi), HATA VIDEO NI NZURI.
Kayumba hajawahi kuniangusha. Pamoja na huyo, pia namkubali Sana BELLE 9 anavyoimba kuanzia SAUTI, MELODY na LUGHA.
HONGERA SANA KAYUMBA KWA KAZI NZURI
Bell 9 anaweza sana, sijui kapoteaje kwenye gemu dah namuombea sana arudi kundin, mwamba anajua kila kitu ; utunzi, melody, code and ana package flani very exclusive.Naomba nitumie nafasi hii kumpongeza Sana kijana mwenzangu, mwanamziki KAYUMBA kwa kazi nzuri unayoifanya.
Napenda Sana kazi zake. Na hii ngom mpya ya CHUNGA umetulia Sana kuanzia MAUDHUI, MELODY, MATUMIZI YA LUGHA (hajatumia lugha za matusi unaweza kusikiliza na wazazi), HATA VIDEO NI NZURI.
Kayumba hajawahi kuniangusha. Pamoja na huyo, pia namkubali Sana BELLE 9 anavyoimba kuanzia SAUTI, MELODY na LUGHA.
HONGERA SANA KAYUMBA KWA KAZI NZURI
Belle 9 Ni mtu na nusu. Kasikilize "Neno", "Kupenda" "Umefanana nae, Masogange, Amerudi"Bell 9 anaweza sana, sijui kapoteaje kwenye gemu dah namuombea sana arudi kundin, mwamba anajua kila kitu ; utunzi, melody, code and ana package flani very exclusive.
Uwezo!Belle 9 Ni mtu na nusu. Kasikilize "Neno", "Kupenda" "Umefanana nae, Masogange, Amerudi"
Ni halaa zito
Boss.. Ni Balaa zito NA NUSU..Belle 9 Ni mtu na nusu. Kasikilize "Neno", "Kupenda" "Umefanana nae, Masogange, Amerudi"
Ni balaa zito
Inakataa kuipandisha hapa.
Ila Ni nzuri, ipo YouTube na Google