Hongera sana Kayumba

Hongera sana Kayumba

Kizibo

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
4,033
Reaction score
8,805
Naomba nitumie nafasi hii kumpongeza Sana kijana mwenzangu, mwanamziki KAYUMBA kwa kazi nzuri unayoifanya.

Napenda Sana kazi zake. Na hii ngom mpya ya CHUNGA umetulia Sana kuanzia MAUDHUI, MELODY, MATUMIZI YA LUGHA (hajatumia lugha za matusi unaweza kusikiliza na wazazi), HATA VIDEO NI NZURI.

Kayumba hajawahi kuniangusha. Pamoja na huyo, pia namkubali Sana BELLE 9 anavyoimba kuanzia SAUTI, MELODY na LUGHA.

HONGERA SANA KAYUMBA KWA KAZI NZURI
 
Weka mzigo hapa tuhakikishe.
 
Inakataa kuipandisha hapa.

Ila Ni nzuri, ipo YouTube na Google
 
Naomba nitumie nafasi hii kumpongeza Sana kijana mwenzangu, mwanamziki KAYUMBA kwa kazi nzuri unayoifanya.

Napenda Sana kazi zake. Na hii ngom mpya ya CHUNGA umetulia Sana kuanzia MAUDHUI, MELODY, MATUMIZI YA LUGHA (hajatumia lugha za matusi unaweza kusikiliza na wazazi), HATA VIDEO NI NZURI.

Kayumba hajawahi kuniangusha. Pamoja na huyo, pia namkubali Sana BELLE 9 anavyoimba kuanzia SAUTI, MELODY na LUGHA.

HONGERA SANA KAYUMBA KWA KAZI NZURI
Bell 9 anaweza sana, sijui kapoteaje kwenye gemu dah namuombea sana arudi kundin, mwamba anajua kila kitu ; utunzi, melody, code and ana package flani very exclusive.
 
Kayumba anakipaji kikubwa Sanaa.......amekosa tu mamentor wazuri wa kumuongoza katika gemu yetu ya bongo....!!

Bell 9 niliacha mda kidogo kumsikiliza....haonekani kwnye circle ya game kabisa
 
Back
Top Bottom