Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,033
- 8,805
Naomba nitumie nafasi hii kumpongeza Sana kijana mwenzangu, mwanamziki KAYUMBA kwa kazi nzuri unayoifanya.
Napenda Sana kazi zake. Na hii ngom mpya ya CHUNGA umetulia Sana kuanzia MAUDHUI, MELODY, MATUMIZI YA LUGHA (hajatumia lugha za matusi unaweza kusikiliza na wazazi), HATA VIDEO NI NZURI.
Kayumba hajawahi kuniangusha. Pamoja na huyo, pia namkubali Sana BELLE 9 anavyoimba kuanzia SAUTI, MELODY na LUGHA.
HONGERA SANA KAYUMBA KWA KAZI NZURI