kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Wow...Kiukweli I don't have full words of explaining how the world chear up, ulivyokuja ulimwenguni. Congratulations the Most Beautiful Woman!!
Yaaah we are happy for u! Hongera sana kwa kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa Valentina...
Umebarikiwa na Mungu, umepewa uzuri wa kipekee!
Nikuambie tu, we ni aina ya mwanamke ambaye kila mwanaume anapenda [emoji12] [emoji12] ...
Hongera sana mdada!!
Mungu akuongezee miaka mingi zaidi ya mafanikio na furaha.
Me and my wife love u sana.
Karibuni sana to celebration itafanyika ndani ya snowcrest...
Wadau wote, forum zote kuanzia Wakongwe Asprin, Madame B, KOKUTONA, Khantwe, Otorong'ong'o, Chocs, mshana jr,
Mwanyasi, janeth1,......
Makapuku wote, Bitoz, Jimena, quicleg, th name, atoto na wengine woooote.
Karibuni