Hongera sana kwa Morocco kwa kweli wametuheshimisha sana

Hongera sana kwa Morocco kwa kweli wametuheshimisha sana

Nmejipatia tsh 1,200,000 baada ya kubet na jamaa yangu mmoja mwana CCM ambaye aliniambia leo piga ua T. Stars inashinda. Iwe isiwe. Nami nikasema haitoshinda. Nimefanikiwa kushinda mimi.

Tsh 1,200,000. Life is good banabongo. Safi sana Morocco na mfanikiwe zaidi na zaidi.
Morocco wamekonga nyoyo za Watanganyika, timu ya Kizimkazi imetupwa nje na hii ni furaha iliyopitiliza.
 
Back
Top Bottom