Hongera sana kwa mtazamo wa ushirikiano kibiashara na nchi nyingine duniani!

Hongera sana kwa mtazamo wa ushirikiano kibiashara na nchi nyingine duniani!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Msimamo na vitendo vya mama Samia, Rais wa JMT, vinaongea zsidi kuliko maneno.
Mama Samia kahudhuria kwa niaba ya nchi yetu kongamano za Kilimo, biashara na maendeleo kwa ujumla.

Karibuni mama Samia alikuwa Doha kuendeleza ushirikiano katika kilimo na biashara, na sasa yuko India kwa kuendeleza usrikiano wa kibiashara.

Tatizo kubwa ni watanzania wenyewe kuziona fursa zinazojitokeza. Wizara zinazohusika sasa ni kuziorodhesha fursa zilizo wazi ili watanzania waweze kufaidika nazo.

Hongera mama Samia.
 
Back
Top Bottom