Hongera sana kwa Serikali yetu kwa haya mambo makuu 3

Hongera sana kwa Serikali yetu kwa haya mambo makuu 3

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,699
Reaction score
9,323
Benki kuu imezindua mfumo intergrated core banking system,huu ni mfumo wa kibenki ambao kwa miaka 24 iliyopita tulikuwa tunatumia mfumo kutoka nje ambao tulikuwa tunalipa kwa kuutumia,kwa sasa hatulipi kitu na mfumo umejengwa na watanzania na tumesevu bilioni 90 kwa mwaka.

Leo tunazindua bandari kavu ya kwala,ambapo makasha sada yatakuwa yanasafirishwa kwa treni na sada foleni ya malori dar itapungua sana.Mwisho wa mwezi huu mabasi ya mwendokasi zaidi ya 300 yataanza kazi na kupumguza msongamano mkubwa wa abiria dar Hongera Samia Suluhu Hassan
 
Back
Top Bottom